Niseme au nimute?

Niseme au nimute?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Mtukanitambulisha kwa dem ambaye tayari nilishapita naye, nimwambie au nimute.
 
Aaaa kwani uliweka alama??
embu nkuulize dhumuni la kumwambia ni nini???
 
Bado unampenda??????

Uliona wa kazi gani mwenzio alikuwa anawaza atampata Lin...

Hayo ndo mapenzi
 
Ukisema itakusaidia nini na usiposema utapungukiwa nini...!!!!??
 
ah!kausha bhana kwan nini?kila jambo na wakati wake uliitwa bebi sasa wakati wa kuitwa shemeji.
 
Huyo uliye naye sasa hv ulimkuta bikira kijana mwambie na wewe utaambiwa
 
M2 kanitambulisha kwa dem ambaye tayari nilishapita naye, nimwambie au nimute

kama demu kala buyu nawe poteza ..usijishaue
mwenzio ka kausha nawe potezea usilete story za miaka ilee
 
umwambie ili iweje? we kausha tu waache wafanye yao, muda wako we ushapita.
 
Back
Top Bottom