Niseme au nimute?

Niseme au nimute?

Nashukuru Kwa Ushauri, Nilikula Buyu Na Ilinilazim Nihame Meza Ili Wawe Huru, Ila Jamaa Alikuwa Na Waswas Hadi Akaniuliza Kulikoni Nihame Meza? Full Story Nitawapen Nikiwasha Pc
 
Kwani bado unampenda?
 
Hapo inakuuma balaa,coz ulidhali hana umuhimu tena
Chukua time yako
 
Piga kimya hata huyo du. Nae anajua kama nawe umepita ila kaamua kupiga kimya,
 
Back
Top Bottom