Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 248
Habari zenu bandugu!
Kutoka FB: Kunamadada wa2 hivi walinitumia friendrequest nikakubali baada ya muda kidogo tukiwanachati simu ikaita kupokea akajitambulisha kumuuliza wapi katoa namba akasema katoa kwenye profile yangu,nikachukulia poa baada ya hapo hajarudi tena kuniandikia msg na simu hapigi na mimi sipigi, na mwingine vivyo hivyo laiti wangejua...!!!
HITIMISHO:
Nahuyu wapili nae alipopiga alijitambulisha kama wa mwanzo tukaongea tukamaliza, cha ajabu kinachonishangaza nikuona wote wamekaa kimya na msg hawanitumii tena na simu hawapigi tena, najiuliza kunakitugani hapa kati!? Au walitegemea kuwa nitashobokea!! Au nikwakua sijaonyesha ushirikiano kwao. Kwamnaofahamu,nilitakiwa kufanya nini hapo? Mawazo yenu tafadhali.
cc: gedeli,ram,Rock City,charminglady,THINKPAD,Elizabeth Dominick & beibenasty
Na JF kwa ujumla.