Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

Acha kuleta siasa kwenye mambo nyeti. Hivi unadhan ni msamaha msamaha tu. Kuna vitu vya Kufanywa na civilians vingine achieni official intelligence sio kila jambo blah blah
 
Ni funzo, jeshini neno mgomo halipo wala kuandamana........kufukuzwa ni sahihi maana hiki kizazi vijana wengi ni wajuaji sana, Jeshini ni heshima tu na utii hata kama unaona kabisa unaonewa, na sometimes ni mitego kuona uvumilivu
 
Shida ya Watanzania ni kutaka kuwa sawa na mtoto wa Kigogo. Huo usawa haupo duniani
 
HV unapataje Sasa kwenda jeshini yaan jwtz Kam ikiwa kigezo CYO ujkt Tena kama wengi walivyoingiaga kuwa walianzia jkt then wakaingizwa jwtz
 
Wale wa baba kanituma hawakosekani ...kiufupi sahv bila connection utasota sanaa .....
 

Hii ahadi ilitolewa na hayati,na majina yote alikuwa nayo,hapo ilibaki utekelezaji,me niseme kwenye hii dunia haki aipatikani kirahisi.
 
Jukumu la kwanza ukiwa JKT = UTII bila kuhoji

Huwezi tafuta kitu kingine cha kufanya
 

Wewe unauhakika gani na uliyosimuliwa na mtu mmoja tu? Si ungefanya utafiti kwa hao vijana angalau hata 10 tu ili wakueleze na kupima ukweli kabla ya kukurupuka na kuleta utopolo humu?
 

Ninahisi wewe ni mmoja wa hao 854 waliokurupushwa pale Chamwino na kufungasha virago!
 
Jiwe naye alikuwaga anakurupuka kama hana akili! Alimsikia nani anataka kuajiri watu wengi hivyo? Na tangu lini jkt ikawa sehemu ya kuajiri watu! Hicho kitu hakipo, serikali ilisitisha mambo ya ajira sehemu zote! Ila bahati nzuri kwao wamepata ujuzi wa ufundi waende wakautumie vizuri hiyo ni ajira tosha kabisa!
 
Tunatengeneza bomu ambalo likija kulipuka litasababisha hali mbaya sana ya maisha yetu ya sasa na ya baadae
 
Kosa la kugoma na kuandamana jeshini ni uasi wamekosea njia sahihi ya kudai japo huenda kweli walikuwa na haki maana kauli ya Rais ni sheria anyway tuache hiyo onyo kwa vijana jkt ni kwenda kupoteza muda kama huna uhakika wa ajira maana utaenda fanya kazi pasipo malipo kwa kigezo cha uzarendo baki tu mtahani utakosa leo kesho utapata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…