nisaidieni

Bakht

Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
9
Reaction score
0
kwanini mtu anaweza kunywa lita kumi za pombe lakini hawezi kunywa lita kumi za maji kwa wakati mmoja?
 
kwa sababu pombe haijazi tumbo ila maji yanajaza tumbo
 
Alafu ukijua itakusaidia nini sasa kijana kwa sababu maji ni maji na pombe ni pombe
 
kwanini mtu anaweza kunywa lita kumi za pombe lakini hawezi kunywa lita kumi za maji kwa wakati mmoja?
pombe haina kaz mwilini so ukinywa mwili unahisi km umeleta kitu cha ovyo hivyo inadirectiwa kwenda out kupitia mfumo wa mkojo..ndo mana toilet utaenda hata mara kumi kukojoa...na ile alcohol iliyopo kwenye hicho kimiminika ndicho kinachogeuza ubongo wako na kuona kwenye maji unaona pakavu na pakavu unaona kuna maji...lakn unapokunywa maji huwa yanaenda kwenye seli kwa ajili ya kazi mbalimbali asa yanapokua yashatosha kwa wakati huo afu we unazidi tu kunywa yanakua haya be absorbed to the blood stream badala yake yanajilundika tumbuni hayana pa kwenda hahaha mwenyewe utastop kunywa coz utaisi tumbo linapasuka....yan kwa ufup pombe huwa haikai tumbon hua inapitiliza na kutoka km mkojo mda mchache tu baada ya kuinywa kutokana na u useless wake.....
 
Hebu tuondolee ujambazi wako hapa. Mbona unataka kututoa kwenye mood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…