Nisaidieni Wataalamu wa Lugha

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Naomba kupewa neno la kiswahili lenye maana ya euphemism
Asante
 
Mkuu haindikiki kwa lugha yetu mfano pure=pyua

I know that na ndio maana nimejwamnia wapo wenye uwezo wa kukuandikia kifonetiki au kifonolojia

lakini pia ningeweza ku google nikakupestia matamshi yake hapa jambo ambalo najua hata wewe unaweza .

niliandika vile kama utani tu kwasbabu najua mawewe umeuliza kiutani kimsingi unajua linatakwaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…