Napenda kuongezea Gharama ya Kozidi isizidi Milioni 3 kwa Mwaka.Kabla ya yote kwanza naomba ufafanuzi juu ya vitu hivi kama vina utofauti. IT, ICT & Computer science. Baada ya hapo naomba kufahamu ni wapi hapa Tanzania naweza kupata elimu nzuri ya masomo hayo, Nakusudia elimu nzuri na si cheti kizuri. Tena hata kama haitambuliki na serikali hiyo sehemu lakini kama elimu yake ni nzuri kuliko vyuo vya serikali naomba nielekezwe. Nahitaji kusoma kozi ya mwaka mmoja mpaka mitatu.
Kabla ya yote kwanza naomba ufafanuzi juu ya vitu hivi kama vina utofauti. IT, ICT & Computer science. Baada ya hapo naomba kufahamu ni wapi hapa Tanzania naweza kupata elimu nzuri ya masomo hayo, Nakusudia elimu nzuri na si cheti kizuri. Tena hata kama haitambuliki na serikali hiyo sehemu lakini kama elimu yake ni nzuri kuliko vyuo vya serikali naomba nielekezwe. Nahitaji kusoma kozi ya mwaka mmoja mpaka mitatu.
IT means information technology, ICT means information and communication technology, kwaufafanuzi zaidi watakuja wenyewe kudadafua.Napenda kuongezea Gharama ya Kozidi isizidi Milioni 3 kwa Mwaka.
Kuna chuo kimoja kinaitwa New Horizon ni private ila wapo nondo sana ukipiga diploma pale miaka 2
ata alietoka UDOM akuambii kitu man.Hiki chou wapo Dar,Arusha wapo fresh nakama kuna aliesoma hiki
chuo ataweza dhibitisha nisemacho.
Inategemea unataka kuwa nani au kufanya nini na hiyo elimu yako.
IT, ICT na Sayansi ya kompyuta ni vitu tofauti vinavyofanana.
IT ni mojawapo ya applied CS kama ilivyo IS na ni subset ya Computer Science, inahusu novice and advance users na practical aspects of CS. Inafundisha jinsi ya kutumia teknolojia za kompyuta
ICT ni mjumuisho wa IT na Communication technologies, inahusu practical.
Computer Science ni nadharia na vitendo inajumuisha nyanja nyingi mfano networking,computer mathematics, IT, IS, ICT,utafiti n.k, inafundisha jinsi hizi teknolojia zilivyotengenezwa na jinsi ya kutengeneza nyingine, inaandaa watu wawe walimu na wafanyakazi, ila ICT na IT zinaandaa watu kuwa wafanyakazi tu.

Mtaalam naomba nitofautiane kidogo na maelezo yako naona umechanganya mambo
Sio kweli kuwa IS ni subset ya computer Science. Computer science na IT ndio subset za IS.
Kuna chuo kimoja kinaitwa New Horizon ni private ila wapo nondo sana ukipiga diploma pale miaka 2
ata alietoka UDOM akuambii kitu man.Hiki chou wapo Dar,Arusha wapo fresh nakama kuna aliesoma hiki
chuo ataweza dhibitisha nisemacho.
Hautaki cheti unataka elimu nzuri sio? Basi nenda library ujisomee,alafu ufanye unachotaka. Lakini kama unataka uwe makini,tafuta cheti kizuri,soma sana. Watu wanasemaga eti sitaki cheti kizuri,utaishia kujichanganya.
Mtaalam naomba nitofautiane kidogo na maelezo yako naona umechanganya mambo
Sio kweli kuwa IS ni subset ya computer Science. Computer science na IT ndio subset za IS.
IS( Information system) inaweza kuwa mannual au automated. Mfano dafatari la maudhurio ya wanafuzi shuleni ni mfano wa IS ya manual. Shule ikiamua ku atomatae ndio inatengenzwa database hapo ndio mambo ya computer science na IT yanaingia. Huwezi kuwa na database bila computer............
So kifupi maelezo yako umechanganya mambo
Kurudi kwa Mada
IT= Information Techology= Simu, computer, fax, website ni nyenzo za za IT
ICT- Information and Coomunication Technology
COmputer scince. Mtu aliye soma computer scince lazima ajue japo kidogo deteial za kompyuta kiundani . inavyofanya kazi na vifaa vilivyomo ndani. Mtu aliyesoma IT sio lazima ajue sana detail za technics za hardwareya computer/server
Huwezi kutenganisaha ICT na IT sababu dhana nzima ya IT ni kurahishisha upatikanaji wa habari na mawasiliano. Kwa hiyo IT na ICT ni kitu kilekile.
Soma hapa Information technology - Wikipedia, the free encyclopedia
Computer science - Wikipedia, the free encyclopedia
Kuhusu chuo Kizuri kwa Tanzania sijui yote inategema na jitihada zako. Vyuo vingi vinafundisha nadharia tu au topic amabzo haziendani na wakati. Hata singapore au india amabapo kwa budget zako unaweza kupata chuo kizuri lakini yote itategema jitihada zako.
Kabla ya kutafuta chuo na kushauri kwanza jua unataka nini hasa. kuna
Pili unataka kusoma kwa ajili ya kutafuta kazi au unapenda kujua mambo tu. kwa ajili ya shughuli zako ?
- Networking,
- Database
- Programming
- Electronics
- General IT management , MIS
Badala ya kutafuta chuo uamuzi mzuri unaweza kuwa ku kujifunza Certification course kama CISCO, Microsoft na nyingine nyingi tu. But kabla ya kufanya kozi hizi inabidi atleast uwe umesoma education course za computer basics japo kwa mwaka.
Chuo chochote utakachochagua basi usiache kutumia internet kujifunza
Pata ladha ya lecture za vyuo ambzao ziko free online
Introduction to computer Programming
Introduction to Computer Programming | Stanford Computer Science Lecture
Mfano hii lecture No 5 pale stanford university
Web engeenerring
HTTP | Harvard Computer Science Lecture
Hii ni lecture ya Pili imetolewa pale havard kuhusu mambo ya web
PHP | Harvard Computer Science Lecture
Kwa hiyo ukichanganya chuo + na material yaliyo online +juhudi zako basi utafanikiwa
Asikudangye mtu kuwa aliyesoma IFm ni bora kulikowa UD au wa UD ni bora kuliko wa UDOM au wa New Horizon no bora kuliko wa UCC. Tofauti inakuja kwenye jitihada za mwanafunzi mwenyewe.