Jamani,naombeni sifa za wanyaturu.Nimekuwa na rafiki yangu wa kinyaturu imefikia hatua ya kuniambia nimuoe,sasa nataka nijue sifa za wanyaturu abla sijamkubalia.Nisaidieni wadau
Kwa kweli imebidi nicheke kwani yeye na familia yake wakoje? Amelelewaje? Wazazi bado wako wote? Ndugu je? Achana na kabila kiutabia labda uulizie mila na desturi zao zikoje nawe unaonaje as zinakuwa zinafatwa na wengi kwenye makabila then amua.
Ila kwa wewe kuuliza humu inaelekea bado haumjui huyo wako na pia hamuongei communication ni muhimu sana katika uhusiano.
Kama auko free nae akakueleza mengi ya kabila lao kwa stories etc basi tulia baadae utamuoa kama bado utapenda ya huko kwao.
nipe namba yake nimweke ndani kwakuwa wewe bado mtoto....watu cku hizi hawaoi kabila bali tabia.kama humpend tupe namba zake halafu wewe uendelee kupekua makabila yote nchini.boya wewe!!