Nisaidieni wapendwa,wanyaturu wana sifa gani nataka kuoa mnyaturu

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Jamani,naombeni sifa za wanyaturu.Nimekuwa na rafiki yangu wa kinyaturu imefikia hatua ya kuniambia nimuoe,sasa nataka nijue sifa za wanyaturu abla sijamkubalia.Nisaidieni wadau
 
hawa hapa!

poblado-datoga_444799.jpg

gonga like niimalizie!
 
Kwa kweli imebidi nicheke kwani yeye na familia yake wakoje? Amelelewaje? Wazazi bado wako wote? Ndugu je? Achana na kabila kiutabia labda uulizie mila na desturi zao zikoje nawe unaonaje as zinakuwa zinafatwa na wengi kwenye makabila then amua.

Ila kwa wewe kuuliza humu inaelekea bado haumjui huyo wako na pia hamuongei communication ni muhimu sana katika uhusiano.

Kama auko free nae akakueleza mengi ya kabila lao kwa stories etc basi tulia baadae utamuoa kama bado utapenda ya huko kwao.
 
Hao hawana noma

huwez jua yupi kaolewa yupi hajaolewa,yaan wao wakitongozwa wanaachia tena bila gharama zaid ya kyepe na fanta ya barid...ni shiiiiida
 
Na ukisema uhonge jua anasahau mume sunajua life la kisingida n km kaanan au damascus au tripol,kijangwa jangwa uchumi mbovu
 
Wanyaturu,wanyiramba,warangi,wairaki,barabaigi,wambulu wanamfanano kwa mbaaaaaal

ila huyo unaetaka kuoa,inabid kiuchumi uwe vizur mkuu
maana neno NO singida n kwa wachache
 
nipe namba yake nimweke ndani kwakuwa wewe bado mtoto....watu cku hizi hawaoi kabila bali tabia.kama humpend tupe namba zake halafu wewe uendelee kupekua makabila yote nchini.boya wewe!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom