Nisaidieni, umasikini wa familia unanitatiza

Huyu anataka hela kama Zawadi na sio mkopo! Mtu wa kukuzawadia 30M labda mjomba wake 😅!

Kwa hali ya sasa laki moja tu inatolewa kwa masharti magumu sana ikiwemo passport za wazazi wote waili na riba ya 30% kwa muda usiozidi mwezi mmoja!
 
Hapa ni wewe ndiyo mwenye jibu.Unachauliza hapa ni kubadili aina ya maumivu.kati ya kuondolea aibu wazazi wako na kufanya marejesho yenye maumivu.kupanga ni kuchagua.Ila kama ni mimi so longer as hakuna mtu atakufa kwa hizo aibu si wezi ingia kwenye comitment za aina hiyo.Vipi kama kazi yako ikiisha kabla ya kumaliza mkopo?
 
Asante kwa ushauri mkuu. Kuhusu tamaa nikutoe wasiwasi siko hivyo.

Ukweli unabaki palepale nahitaji pesa kwa serious pressing needy to save the fame of my family and myself trying to avoid trapped in the poverty circle. Nashindwa kufafanua Kama nilivyobainisha hapo juu.

Bro just analyse my situation and advice accordingly .
 
Huyu anataka hela kama Zawadi na sio mkopo! Mtu wa kukuzawadia 30M labda mjomba wake
!

Kwa hali ya sasa laki moja tu inatolewa kwa masharti magumu sana ikiwemo passport za wazazi wote waili na riba ya 30% kwa muda usiozidi mwezi mmoja!
Heshima kwa JF

U teasy my mind bro
 
Umeongea point sana mkuu, kuishi kwa kujilinganisha na watu usio juwa wanapataje, pia kila mtu na maisha yake Mungu alimzawaidia ndio maana kuna vilema, kuna wazima, kuna wagonjwa mahututi na kuna walio hai na afya njema, swali la kujiuliza unataka uheshimike ili iweje au uende wapi, kikubwa ni mahitaji ya kila siku ya familia basi
 
Tafuta mwanaume au jimama la mjini liwe linakupa matunzo, hicho kihela utakipata ndani ya muda mfupi sana
 
Dah...heshima yako mkuu
 
Naona unataka kukopa pesa ujengee wazazi ..

Na wewe pia unataka ukpoe nusu ya 40mol ili 'uboreshe maisha yako mjini hapa" kwasababu ukiwaangali "mates zako " wamekupita kimaisha ....

Maisha sio Mashindano, live your life...

You trying too hard to seek social approval
Kila la kheri mkuu
 
aiseeee.....kwanza pole.....usikope kwa ajili ya kumfurahisha Bin - Adam........kopa kuwekeza......kaa na mzazi mwenzio muangalie njia stahiki.....hata kama ni tiba.......fanya kwa uwezo wako ukitafuta wafadhili.......endelea kujipa moyo mkuu.....penye nia pana njia....jiamini wewe uko vema...mengine mipango....
 
Jaribu uingie ktk asasi za kiislamu,, hawanaga riba wale. Wako poa sana
 
Embu kuwa muwazi, kama ni case ambayo inaweza pelekea mzazi wako kufia jela kopa tu uondoe hiyo aibu kwenye familia yako, ila kama ni ku- furahisha familia ili uonekane na wewe una pesa achana na mikopo mara moja…

Siku zote first born ndio tunabebeshwa mizigo katika familia, pole sana kwa unayopitia kwa sasa…
 
Haukuzaliwa peke yako kwenu; Pambana na maisha yako tu, nyumbani wasaidie pale unapoweza. Unaweza kutumia kama 5M kuwaboreshea mazingira, nawe hiyo 25 tumia kwenye uwekezaji wako. Hapo ulipo unaitaji nyumba nzuri, mke mzuri, gari zuri. Sasa utafanikishaje malengo, wakati hela zote unapeleka kwenu huku ukitafuta kusifiwa na majirani? Mkuu jali maisha yako tu.
 
Wengi tunapitia ktk situation kama yako, personaly home kwetu hapafai, lkn nilijinyima nikasimamisha kanyumba ka tofali za kuchoma within a year nikawa nimefikia rinter, nimebakiza kupaua tuu. Hapo sikukopa hata shilingi.

Naamini wazazi wako wapo kijijini ambako gharama za ujenzi ni za kawaida, na hapahitajiki mbwembwe nyingi kwenye nyumba kama za hapa mjini.

Shida yako unataka ukamilishe vyote ndani ya muda mfupi, na pia unataka kufanya ili u-prove watu na nyie mko pazuri which can cost u a lot.

Nenda mdogomdogo mkuu, mfano jiwekee malengo ikifika january hakikisha unasave 500k/600k kila mwezi. Ndani ya miezi 10 utakuwa na 6M ambazo zinatosha kabisa kusimamisha nyumba huko kijijini kwenu.

Ukishamalizana na wazazi wako sasa ndo ugeukie upande wako, maana huwezi kufanya yote kwa pamoja.
 
Wewe mwenyewe umeshindwa kujiheshimu, mtu mwenye akili timamu hawezi akakopa pesa ili aweze kuwa kwenye levels za the so called mates.

Mudafakin you are your mate, fck your past self and create better future self.


Excuse my fukin language.
Ok Mr fukin...
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…