- Thread starter
- #21
Naendelea kujifunza .Asante mkuuPole sana mkuu,ninapitia changamoto kama kama yako,nafikiri unahitaji kumjengea mzazi wako nyumba nzuri,na wewe mwenyewe uwe na nyumba nzuri lakini usitumie nguvu kubwa kuwafurahisha wazazi wako.
Tafuta pesa taratibu,lakini usijiingize kwenye MIKOPO,ukijiingiza kwenye mikopo utachangachanyikiwa zaidi,utakuwa na mikopo mikubwa stress unakuwa nazo za kulipa madeni ya mikopo.
Ukikopa utaishia maisha magumu sana kuliko sasa,achana na mikopo mikubwa ili kuwafurahisha wazazi wako,tafuta pesa taratibu usijiweka kwenye mtego zaidi wa ugumu wa maisha kwa kujiingiza kwenye madeni