Nisaidieni ugonjwa huu utaniua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni ugonjwa huu utaniua.

Discussion in 'JF Doctor' started by Benard kombe, Aug 9, 2012.

 1. Benard kombe

  Benard kombe Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba mnisaidie dawa ya kipandauso sugu(magraine) nasumbuliwa sana kiasi cha kupoteza fahamu,nasubiri majibu.
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu, Ergotamine titrate inasaidia sana migraine headache,
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Jipakae mafuta ya kitunguu Saumu mahala panapouma,maumivu yataondoka upesi halafu Umeze kwa maji kipande kimoja cha kitunguu Saumu kitaondoa kabisa chanzo cha maumivu hayo iwapo ni tumboni tumia kisha unipe feedback mkuu.@Benard kombe pole sana.
   
 4. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Uhauri uliopewa hapo juu ufanyie kazi kisha tujurishe matokeo yake ili tu-save parmanently hii solution
   
 5. Flein

  Flein Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu polesana kwa tatizo hilo, kwa ufahamu wangu wa mambo ya rohoni nakushauri ufike kanisani upate maombezi utapona. Mimi nilikua na tatizo hilo kwamuda mrefu sana hadi nimefika kidato cha pili, niliwahi kukosa mitihani kwa sababu ya kipandauso, nilitumia dawa mbalimbali ila nilipona nilipofanyiwa maombi. kwa mawasiliano zaidi ikiwa utapenda piga0754 991 279
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  unawezaje kuandika post ukiwa umezimia?
   
 7. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nasikitika kuona rank yako ni 'JF Senior Expert Member' then ukaweza kupost pumba kama hii!
  Mwenzako anaumwa wewe unaleta mzaha, sasa ulifikiri amezimia milele!? Huko c kufariki dunia?
  Be sensible bana!
   
 8. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Nenda hospitali ukaonane na wataalamu wa ENT na kufanya vipimo kama CT-Scan, tatizo litajulikana ni nini.

  Migraine inasababishwa na magonjwa mengi mojawapo ni chronic maxillary or frontal sinusitis, Ergotamine unapata unafuu wa muda tuu.

  Pole sana.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Anadin extra helps too kwenye migraine
   
 10. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri sana sana, hata kama utatumia dawa na wote walokushauri lakini huu ni ushauri mzuri sana, ukishajua tatizo then unaweza kutumia hizo dawa na ukapata tiba ya moja kwa moja. ila pia pendelea kunywa maji mengi sana.
   
Loading...