Kaka usiwe na haraka ndugu mana Mungu ndie anaekupangia muda na wakati wa kumpata alie sahihi kwako,madada wengi wa chuo uwa wanabadlika ila uwa haidumu muda mana wanaume wanaokutana nao chuo nia ni kuwatumia na kuwaacha so sasa hivi kaachika ndo anakukumbuka.Achana nae na kama unaweza kua nae kama rafiki tu tena sio wa karibu.Usifanye uamuzi wa kumrudia afu baadae uje kuturudia na kuomba ushauri
usikilize moyo wako unataka nini then ufuate
Weak people revenge.
Strong people forgive.
Intelligent people ignore.
Weak people revenge.
Strong people forgive.
Intelligent people ignore.