Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
wadau heshima mbele
jamani simu yangu imekuwa na tatizo hivi karibuni la kupata moto yana ukiitumia, kupiga simu, kuchat, inakuwa ya moto ghafla na charge inakuwa inaisha haraka tofauti na ilivyokuwa mwanzo ni Nokia E71 sa sijui tatizo nini wadau