Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Waungwana wenzangu, ninatumia simu TECNO TV70, ni SCREEN TOUCH, lakini ghafla baada ya kubadili Line na kuiwasha iliwaka na then ika-stack, haikubali kuzima wala kuoperate chochote.
Baada ya muda inajizima na kujiwasha yenyewe na inajiandika SIM CARD NOT READY,PLEASE WAIT na inaendelea kustack kama kawaida.
Inajizima na kuwaka na message ya sim card......usiku kucha bila mafanikio.
Mwenye ufumbuzi wa tatizo hili anisaidie tafadhari.