Nisaidieni ndugu zangu

Nisaidieni ndugu zangu

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
455
Reaction score
933
Naitwa C.
Elimu ni shahada
kazi ni mwl.

matatizo yangu ni kutoelewana na watu,kufanya jambo mwishoni halikamiliki mfano unaanzisha biashara ni lazima baada ya mda fulani utapata hasara!

KISA KIZIMA NI

Mi ni mtoto wa kwanza kwa sasa baada ya marehem kaka yangu kufariki.

Tangu kidato cha pili maisha yangu yalibadilika sana kutoka kwenye furaha na kuwa mtu wa matatizo na misukosuko ya kila aina,
tangu kipindi hcho nikawa mtu wa kuchukiwa na kila binadamu mpaka ndugu na wazazi wangu licha ya kujitahidi kuwa karibu nao.
huwezi amini ndugu leo hii wafanya kazi wezangu, waliokuwa rafiki zangu ndugu zangu,watumishi wa Mungu ninamoabudia majirani wote hawanipendi bila hata sababu licha ya mimi kujinyenyekeza kwao.

kwa ujumla ni visa vingi ambavyo vinasibu maisha yangu vikiongozwa na kuchukiwa na watu. nitazidi kueleza kutegemea utakachotaka kufahamishwa juu ya magumu megi ninayopitia.

ombi kwako nisaidie kimawazo kuwa nifanye nini maana sipendi na nimeshachoka kukosana na watu.

MUNGU AKUTAGULIE ILI USHAURI WAKO UNIOKOE.
 
Pole sana nzugu yetu!
Lakini mi niseme tu kwamba, ili kulikabili na kulimaliza tatizo lolote basi ni kitafuta chanzo cha tatizo lenyewe kwanza
 
Mimi nina kupa ushauri wangu na huu si lazima wewe kuufata unaweza kusoma na kisha uka hachana nao au ukachukua moja au mbili zikakusaidia. Na nina amini katika jukwaa hili wengine wajinga watachukua muda kupingana na mimi badala ya kukupa ushauri nawao. Hila narudia hii ni mawazo yangu wewe mwana JF badala ya kuyajadili tafutana wewe cha kumshauri then yeye atajua afuate kip.

Ndug: Wewe una kitu kinaitwa SPRITOF DEFEAT OR FAILURE yaani roho ya kushwindwa. Roho hii uwapata watu hasa wale walio na nyota ya mafanikio ambayo mafanikio hayo wame wekewa na Mungu. Na hii mala nyingi chanzo chake kikubwa ni shetani ambaye hapendi kuona watu wakifanikiwa katika khali ya kumpendeza Mungu. Ndio maana watu wengine wakipataga roho kama hiyo ukimbilia kwa waganga eti kuondoa nuksi na mikosibila kujua kuwa ndo ua wanaiongeza.

KUTOKA KATIKA BIBLIA
Ukisoma katika biblia (Mathew 28:40-61) unaona Yesu alivyo surubiwa msalaban mpaka akafa na kuzikwa. Yesu akiwa katika kaburi siku mbili baada ya kuzikwa, wakuu wa makuhani na mafarisayo walipeleka walinzi hili kaburi la Yesu likalindwe asije kufufuka. Na kibaya zaidi baada ya kufika katika kaburi lile walikuta jiwe kubwa kwenye mdomo wa lile kaburi. Walipo liona lile jiwe wakalipiga muhuri na kuanza kulinda hili asifufuke.
Maandiko haya yanatuonyesha jinsi shetani alivyo jua kabisa kwamba Yesu akifufuka kuna ukombozi, amani, wokovu, furaha ambavyo wanadam watavipata. Hivyo Shetani alijalibu kutafuta mbinu yoyote hili kuzuia mafanikio hayo ya wanadamu kwa kulilinda kaburi. Biblia ina sema walilipiga muhuri lile jiwe, ni kwa nini? Kwa sababu walijua chini yake yaani ndani ya kaburi kuna kitu ambacho kikifufuka wanadam watapata faida. Hivyo wale walinzi waliamua kulipiga muhuri kwa mantiki yakwamba hakuna mabadiliko yoyote yanatakiwa kufanyika katika hili jiwe.
Ndugu yangu tambua wewe Mungu kukuweka mpaka leo na hiyo elimu yako, Mungu ana makusudi sana. Shetani ameyaona makusudi mazuri na nyota yako nzuri hivyo anajaribu kukutumia walinzi wakulinde usifanikiwe kama walivyo watuma wakalilinde kaburi la Yesu. Shetan baada ya kuona lile jiwe ni kubwa na gum na limefunika kaburi la yesu alijaribu kulipiga muhuri hili kisibadilike kitu.

Ndugu yangu, uso wako, sula yako naifananisha na jiwe lile,shetan amekupiga muhuri kwa mantiki ya kwamba hakuna mafanikio yoyote au mabadiliko yoyote yanatakiwa yafanyike juu yako. Na hii ni baada ya kuona ukombeleni ukifanikiwa utakuwa na maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu ambaye kwake yeye shetani ni mpinzani mkubwa. Katka kitabu za ufuno biblia inamtaja shetan kama mshitaki wetu na baba wa uongo. Wakuu wa makuhan na mafarisayo baada ya Yesu kuwa amezikwa siku mbili kupita, walienda kushitaki kwa pilato wakidai Yule mjanja alisema atafufuka amlu kaburi lilindwe.

Ndugu yangu chochote unacho kifanya kinakwama nakwambia kunamlizi wa shetan ametumwa juu ya roho yako akikishe unakwama na kibaya zaidi mambo mengine ameyapiga muhuri yaani usione mabadiliko hata kidogo.
Ninakuomba sana usije kwenda kwa waganga wa kienyeji kutoa hiyo roho ya mikosi. Kwanza wewe binafusi mwamini Mungu ya kwamba anao uwezo wakukutoa katika khali hiyo, kwa iman hiyo hiyo tafuta kanisa la kiroho, nakumuona mtumishi atakusaidia katika maombezi zaidi. Kuwa makini katika kutafuta kanisa . lakini pia jiwekee muda wa maombi na sala hasa wakati wa usiku amka uombe. Na katika maombi yako kataa kabisa roho ya kushindwa, jinenee mafanikio.Kumbuka unavyo sononeka hivyo ndivyo unampa credibility huyo mlinzi wa shetani akulindae. Kili ushindi na Mungu aliye kuumba kwa mfano wake atakusaidi. Yaani hacha kabisa kusononenaka shetani asifurahie. Mungu akubariki sana.
 
Ndug: Wewe una kitu kinaitwa SPRITOF DEFEAT OR FAILURE yaani roho ya kushwindwa. Roho hii uwapata watuhasa wale walio na nyota ya mafanikio ambayo mafanikio hayo wamewekewa naMungu. Na hii mala nyingi chanzo chake kikubwa ni shetani ambaye hapendi kuonawatu wakifanikiwa katika khali ya kumpendeza Mungu. Ndio maana watu wenginewakipataga roho kama hiyo ukimbilia kwa waganga eti kuondoa nuksi na mikosibila kujua kuwa ndo ua wanaiongeza.

KUTOKA KATIKA BIBLIA
Ukisoma katika biblia (Mathew 28:40-61) unaona Yesu alivyosurubiwa msalaban mpaka akafa na kuzikwa. Yesu akiwa katika kaburi siku mbilibaada ya kuzikwa, wakuu wa makuhani na mafarisayo walipeleka walinzi hilikaburi la Yesu likalindwe asije kufufuka. Na kibaya zaidi baada ya kufikakatika kaburi lile walikuta jiwe kubwa kwenye mdomo wa lile kaburi. Walipo lionalile jiwe wakalipiga muhuri na kuanza kulinda hili asifufuke.
Maandiko haya yanatuonyesha jinsi shetani alivyo jua kabisakwamba Yesu akifufuka kuna ukombozi, amani, wokovu, furaha ambavyo wanadam watavipata. Hivyo Shetani alijalibukutafuta mbinu yoyote hili kuzuia mafanikio hayo ya wanadamu kwa kulilindakaburi. Biblia ina sema walilipiga muhuri lile jiwe, ni kwa nini? Kwa sababuwalijua chini yake yaani ndani ya kaburi kuna kitu ambacho kikifufuka wanadamwatapata faida. Hivyo wale walinzi waliamua kulipiga muhuri kwa mantiki yakwamba hakuna mabadiliko yoyote yanatakiwa kufanyika katika hili jiwe.
Ndugu yangu tambua wewe Mungu kukuweka mpaka leo na hiyoelimu yako, Mungu ana makusudi sana. Shetani ameyaona makusudi mazuri na nyotayako nzuri hivyo anajaribu kukutumia walinzi wakulinde usifanikiwe kama walivyowatuma wakalilinde kaburi la Yesu. Shetan baada ya kuona lile jiwe ni kubwana gum na limefunika kaburi la yesu alijaribukulipiga muhuri hili kisibadilike kitu.
Ndugu yangu, uso wako, sula yako naifananisha na jiwe lile,shetan amekupiga muhuri kwa mantiki ya kwamba hakuna mafanikio yoyote aumabadiliko yoyote yanatakiwa yafanyike juu yako. Na hii ni baada ya kuona ukombeleni ukifanikiwa utakuwa na maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu ambayekwake yeye shetani ni mpinzani mkubwa. Katka kitabu za ufuno biblia inamtajashetan kama mshitaki wetu na baba wa uongo. Wakuu wa makuhan na mafarisayobaada ya Yesu kuwa amezikwa siku mbili kupita, walienda kushitaki kwa pilatowakidai Yule mjanja alisema atafufuka amlu kaburi lilindwe.

Ndugu yangu chochote unacho kifanya kinakwama nakwambia kunamlizi wa shetan ametumwa juu ya roho yako akikishe unakwama na kibaya zaidimambo mengine ameyapiga muhuri yaani usione mabadiliko hata kidogo.
Ninakuomba sana usije kwenda kwa waganga wa kienyeji kutoahiyo roho ya mikosi. Kwanza wewe binafusi mwamini Mungu ya kwamba anao uwezo wakukutoa katika khali hiyo, kwa iman hiyo hiyo tafuta kanisa la kiroho, nakumuona mtumishi atakusaidia katika maombezi zaidi. Kuwa makini katika kutafutakanisa . lakini pia jiwekee muda wa maombi na sala hasa wakati wa usiku amkauombe. Na katika maombi yako kataa kabisa roho ya kushindwa, jinenee mafanikio.Kumbuka unavyo sononeka hivyo ndivyo unampa credibility huyo mlinzi wa shetaniakulindae. Kili ushindi na Mungu aliye kuumba kwa mfano wake atakusaidi. Yaani hacha kabisa kusononenaka shetani asifurahie. Mungu akubariki sana.

Amina!
 
Ushauri wa Felix ni mzuri sana ufute, mimi kwa kuongezea naomba uache hiyo kauli ya kujiita mimi ni mtu wa matatizo siyo mzuri kujibatiza jina hilo. nafikiri kama utatafuta watumishi katka maombezi watakusaidia zaidi katika usijibatize jiba baya hilo
 
Ushauri wa Felix ufanyie kazi. hacha kuweka historia ya mabaya kutokea zamani. anza kuona nuru siyo giza kwa njia ya iman
 
Ndugu yangu wanadamu hawatokupa faraja uitakayo maana wengi wetu nyoyo zimejaa,
chuki
dharau
ubinafsi
roho mbaya
Mtegemee Muumba Wako yeye atakuinua.

Thank you for the nice advice for him.
This advice is more than enough for him.
 
Mungu ni mwema, felix kayasemea vizuri sina cha kuongeza, kazi ni kwako anza sasa
 
Mimi nina kupa ushauri wangu na huu si lazima wewe kuufata unaweza kusoma na kisha uka hachana nao au ukachukua moja au mbili zikakusaidia. Na nina amini katika jukwaa hili wengine wajinga watachukua muda kupingana na mimi badala ya kukupa ushauri nawao. Hila narudia hii ni mawazo yangu wewe mwana JF badala ya kuyajadili tafutana wewe cha kumshauri then yeye atajua afuate kip.

Ndug: Wewe una kitu kinaitwa SPRITOF DEFEAT OR FAILURE yaani roho ya kushwindwa. Roho hii uwapata watu hasa wale walio na nyota ya mafanikio ambayo mafanikio hayo wame wekewa na Mungu. Na hii mala nyingi chanzo chake kikubwa ni shetani ambaye hapendi kuona watu wakifanikiwa katika khali ya kumpendeza Mungu. Ndio maana watu wengine wakipataga roho kama hiyo ukimbilia kwa waganga eti kuondoa nuksi na mikosibila kujua kuwa ndo ua wanaiongeza.

KUTOKA KATIKA BIBLIA
Ukisoma katika biblia (Mathew 28:40-61) unaona Yesu alivyo surubiwa msalaban mpaka akafa na kuzikwa. Yesu akiwa katika kaburi siku mbili baada ya kuzikwa, wakuu wa makuhani na mafarisayo walipeleka walinzi hili kaburi la Yesu likalindwe asije kufufuka. Na kibaya zaidi baada ya kufika katika kaburi lile walikuta jiwe kubwa kwenye mdomo wa lile kaburi. Walipo liona lile jiwe wakalipiga muhuri na kuanza kulinda hili asifufuke.
Maandiko haya yanatuonyesha jinsi shetani alivyo jua kabisa kwamba Yesu akifufuka kuna ukombozi, amani, wokovu, furaha ambavyo wanadam watavipata. Hivyo Shetani alijalibu kutafuta mbinu yoyote hili kuzuia mafanikio hayo ya wanadamu kwa kulilinda kaburi. Biblia ina sema walilipiga muhuri lile jiwe, ni kwa nini? Kwa sababu walijua chini yake yaani ndani ya kaburi kuna kitu ambacho kikifufuka wanadam watapata faida. Hivyo wale walinzi waliamua kulipiga muhuri kwa mantiki yakwamba hakuna mabadiliko yoyote yanatakiwa kufanyika katika hili jiwe.
Ndugu yangu tambua wewe Mungu kukuweka mpaka leo na hiyo elimu yako, Mungu ana makusudi sana. Shetani ameyaona makusudi mazuri na nyota yako nzuri hivyo anajaribu kukutumia walinzi wakulinde usifanikiwe kama walivyo watuma wakalilinde kaburi la Yesu. Shetan baada ya kuona lile jiwe ni kubwa na gum na limefunika kaburi la yesu alijaribu kulipiga muhuri hili kisibadilike kitu.

Ndugu yangu, uso wako, sula yako naifananisha na jiwe lile,shetan amekupiga muhuri kwa mantiki ya kwamba hakuna mafanikio yoyote au mabadiliko yoyote yanatakiwa yafanyike juu yako. Na hii ni baada ya kuona ukombeleni ukifanikiwa utakuwa na maisha mazuri yenye kumpendeza Mungu ambaye kwake yeye shetani ni mpinzani mkubwa. Katka kitabu za ufuno biblia inamtaja shetan kama mshitaki wetu na baba wa uongo. Wakuu wa makuhan na mafarisayo baada ya Yesu kuwa amezikwa siku mbili kupita, walienda kushitaki kwa pilato wakidai Yule mjanja alisema atafufuka amlu kaburi lilindwe.

Ndugu yangu chochote unacho kifanya kinakwama nakwambia kunamlizi wa shetan ametumwa juu ya roho yako akikishe unakwama na kibaya zaidi mambo mengine ameyapiga muhuri yaani usione mabadiliko hata kidogo.
Ninakuomba sana usije kwenda kwa waganga wa kienyeji kutoa hiyo roho ya mikosi. Kwanza wewe binafusi mwamini Mungu ya kwamba anao uwezo wakukutoa katika khali hiyo, kwa iman hiyo hiyo tafuta kanisa la kiroho, nakumuona mtumishi atakusaidia katika maombezi zaidi. Kuwa makini katika kutafuta kanisa . lakini pia jiwekee muda wa maombi na sala hasa wakati wa usiku amka uombe. Na katika maombi yako kataa kabisa roho ya kushindwa, jinenee mafanikio.Kumbuka unavyo sononeka hivyo ndivyo unampa credibility huyo mlinzi wa shetani akulindae. Kili ushindi na Mungu aliye kuumba kwa mfano wake atakusaidi. Yaani hacha kabisa kusononenaka shetani asifurahie. Mungu akubariki sana.

Good advice!
Spirit of defeat plus Spirit of Rejection.
Wamtumainio Bwana hawatatikisika milele.
 
Kama una uhakika unafanya mambo kwa haki na yanayompendeza mwenyezi mungu wewe endelea tu ndugu yangu wala usijali hao marafiki, ndugu, majirani na wengineo. Kuna kitu mungu anataka kuwadhihirishia hao maadui zako siku zijazo. Ninakubaliana kwa 100% na aliyosema "ndoa ya mkeka" kwenye post no. 2 hapo juu. Na wengi wana tabia ya kufuata mkumbo tu; mmoja akisema sikupendi hiyo mijitu mengine utakuta inafuata mkumbo na yenyewe eti haikupendi tu bila hata kufanya utafiti. Na nina uhakika kwa jinsi ulivyojieleza hapo juu wewe sio mnafiki wala mmbea, utakuwa mtu msema kweli, muwazi ndio maana hayo yote yanakupata.
 
Barikiwa sana ndugu Felix,hakika Mungu amekutumia kujibu na kumpa ushauri wenye manufaa huyu ndugu yetu.Sasa kazi ni kwake kumtafuta Mungu na kukataa roho ya kukataliwa.Hakika maneno huumba,hivyo yampasa kuanza kujitamkia na kujinenea yale yaliyo mema.Namtakia baraka za Mungu ndugu yetu nasi sote!
 
Good advice!
Spirit of defeat plus Spirit of Rejection.
Wamtumainio Bwana hawatatikisika milele.

Felix kaelezea vizuri na wengine pia, ni wakati wako wa kufunguliwa na ufunguo wa kufunguliwa kwako unao wewe mwenyewe, pambana kwa imani na hizi spirits zinazoelezewa hapo juu na wachangiaji, +spirit of stagnation and limitation. Umepewa mamlaka-soma Yeremia 1:10, na sio kusoma bali kutumia hayo mamlaka kujinasua, also Mathayo 18:18. Kataa kila roho ya uonevu kwa kutumia Isaya 54:4, 17. Pole pole, step by step utajikuta unatoka, utashangaa jinsi ambavyo mambo yatabadilika, kufanyiwa delivarance ni safi sana tena ukimpata mtu wa kweli na si agent (kuna maagent wanaojifanya watumishi wa Mungu-be careful), ukiona huna amani na mtumishi unayekutana nae komaa mwenyewe Mungu atakusikiliza, imani yako tu.
 
Back
Top Bottom