Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Mkuu hapa umenitukana kiaina aisee lakini hamna shida
 
Oa mmoja na mwingine mfanye mchepuko wa kudumu hivi vitu vifanye kwa siri sana
asante sana kwa ushauri hataivyo nimeshapata suluhisho na mpaka sasa nimembakiza mmoja japo nimemuumiza sana niliyemuacha
 
Nimeshafanikiwa mkuu mawazo ya wadau wa JF yamenisaidia saaana na mpaka hapa nilipofikia naamini tatizo limekwisha na sasa nipo huru
 
Hii ya njia ya kiimani ingenitesa sana. tayari nimeshasolve mkuu asante sanaa
 
Sawa nendeni huko mkirud msianze kusema sijui jamaa yng naogopq kumwambia style flani ataniona muhuni.... Wakat kwa bad boy popo kanyea mbingu, parachuti imekataa kufunguka style zote furesh
huu ndo ukweli mchunguuuu
 
Ushauri unanoga zaidi baada ya wewe kuumbuka tunasubiri uumbuke kwanza ndio tukashauri kadri inavyofaa
Usiniombee mabaya mtoto wa mwenzio. nashukuru nimefanikiwa kumuacha mmoja NILIAMUA KUKUBALI LAWAMA KULIKO FEDHEHA
 
Wote Wana mizigo ya kufa mtu mkuu
Nipm namba ya mmojawapo..uje unifumanie naye halafu ndo unapata sababu ya kumuacha...ILA UWAHI ENEONLA TUKIO MANA UKICHELEWA TU UNAKUTA MANYONYA CHA FEST NA SEKANDI..LETA NAMBA YA MMOJAWAPO..NIPM FASTA..NIJUE KWELI WEWE NI BAHARIA AU VIPI?
 
Asante mkuu nilishasolve tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…