Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,152
Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
Haya nishaurini nini cha kufanya nipungue uzito, nitasikiliza.
Pia kuwa specific, ukisema fanya mazoezi niambie mazoezi ya aina gani na for how long?