NISAIDIENI KUNISHAURI KUHUSU HILI LILILONITOKEA TCU

IDDI SHAFII

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
37
Reaction score
8
Juzi niliapply vyuo kwenye profile langu . halaf Jana nika remove ili niweke vyuo ambavyo Havana ushindan. baada ya kuremove nikijaribu Ku apply upya list ya vyuo haiji mpaka sasa hiv nimekesha ucku kucha lakin ni vle vle . nifanyeje jamani
 
Polee sana kijanaa...
kosaa kubwa sana ulifnyaa ..kma uko dar fuata ushauri # 2 ..kama uko mkoani uwe unaingia Mara kwa Mara mana naona kuna vyuo vingine vinaongezwa ...
 
Ukiona hivyo ujue ndo vyuo visha jaa
Vyuo haviwezi kujaa kabla ya selection! Hakuna limit ya competitors! hata mkifika 1000! mtashindanishwa mwishoni.
Nadhani tatizo lilikuwa la mtandao. Fanya yafuatayo:
1. Hakikisha bando unalo
2. Jaribu tena baada ya siku moja
3. Kama shida bado ipo wapigie simu ueleze shida yako
4. Kama vyote hivyo hapo juu vikishindikana nenda TCU physically!
 
Juzi niliapply vyuo kwenye profile langu . halaf Jana nika remove ili niweke vyuo ambavyo Havana ushindan. baada ya kuremove nikijaribu Ku apply upya list ya vyuo haiji mpaka sasa hiv nimekesha ucku kucha lakin ni vle vle . nifanyeje jamani
Vyuo bado ni vingi Usijikatie tamaa, Ingia upya na ukae mahali network iko vizuri ufanye yako.
 
naombeni ushauri.. nimesoma diploma ya IT UCC and ninataka kuuply nacte, bt wanataka cheti cha certifcate ambacho bado sikukichukua mpaka sasa.. and hata kesho neinde niombe still nina process nyingi za kufanya na deadline ni ijumaa.. ila transcript na cheti cha diploma naweza pewa wiki hii.. je kuna altenative yoyote ambayo naweza fanya ili kuuply?
 
Kama unaombea NACTE unapewa nafasi lakini hakikisha unafenda ofisi zao zilipo kwa maelezo ya kina zaidi
 
Back
Top Bottom