spirrowiver
Member
- Aug 2, 2014
- 13
- 0
kwa mfano kuna nafasi kama 4 alafu ---- mikoa kama mitatu.je unaruhusu kumark kwenye envolop ni mkoa gani unataka??au una mark tu lile jina la taasisi husika.
msada tafadhati
msada tafadhati
unataja tu taasis mikoa hapana
kuna kitu kingine tena wamesema kwenye application letter inatakiwa uonyeshe jila la taasisi.je ile anuani ya mwajiri unaandika ile ya tume ya ajira au ya taasisi inayoitaji wafanyaki

the tilte of position and institution applied for should be written in the subject of application letter.
je kwa mfano inatakiwa kuandika iv
seecretary,
PSRS alaf
application of office attendant at TBS
au kunatofauti wakuu.tusaidiane
kuna kitu kingine tena wamesema kwenye application letter inatakiwa uonyeshe jila la taasisi.je ile anuani ya mwajiri unaandika ile ya tume ya ajira au ya taasisi inayoitaji wafanyaki
anuani unaandka ya tume ya ajira lakin kwenye title pale unaandka mfano:Yah: maombi ya kazi ya udereva katika chuo cha usimamizi wa fedha(ifm)