Nisaidieni kuhusu dawa za minyoo

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,531
4,097
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna dawa nlikuwa napewa, zinatoa minyoo mizima unaweza kuihesabu, mingne ilkuwa inatokea mdomoni.

Lakini hizi za leo, unapiga siku 3 lakini hawatoki wazima tena. Dawa zimebadilishwa au? N kwa nini!
 
minyoo ya aina ipi? schistosomiasis,hookworm,tape worm,onchocerca volvulus nk.unataka dawa ya minyoo aina gan?
 
Nakumbuka nikiwa mdogo kuna dawa nlikuwa napewa, zinatoa minyoo mizima unaweza kuihesabu, mingne ilkuwa inatokea mdomoni.

Lakini hizi za leo, unapiga siku 3 lakini hawatoki wazima tena. Dawa zimebadilishwa au? N kwa nini!
Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne
 
Mkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
 
Kunywa vidonge vya mshubiri kimoja kila uendapo kulala kwa siku 10. Ni dawa nzuri sana kwa minyoo hasa kwa watu wazima
 
Dawa za siku hizi wanasagika tumboni,then Zentel ni dawa nzuri sana kama minyoo.idadi ya vidonge inategemea una minyoo aina gani,mostly ni kimoja ila kuna minyoo wengine unatumia hadi vidonge vinne
Mie nimetumia kimoja lakini bado bado anasumbua, sana sana nawashwa makalioni na hata kwenye kwenye njia ya haja kubwa
 
Mkuu hiyk zentel inwpatkana wap.. ndo kwanza naiskia
Zinapatikana pharmacy kubwa na gharama kwa kidonge kimoja ambacho ndio dose, ni sio chini ya elfu 5 nilinunua miaka 5 iliyopita sijui km zimepanda bei au laah ila hizi dawa ni maalumu kwa minyoo wakorofi wanaojificha kwenye utumbo mdogo ambapo dawa za kawaida hazitimu, minyoo hao wanaitwa Ascaris Lumbricoids (round worms) minyoo wa mviringo, ni watabe sana hawa wajomba ila hiyo dawa ni kiboko.

Zingatia maelekezo ya famasia ili usiathiri ubora wa dose
 
Mie nimetumia kimoja lakini bado bado anasumbua, sana sana nawashwa makalioni na hata kwenye kwenye njia ya haja kubwa
Hao minyoo wakuwasha matakoni wanaweza hata kudhibitiwa na jana moja linapikiwa chai linaitwa mchaichai, unalichemsha km chai usiweke sukari, kunywa kikombe cha nusu lita asubuhi na mapema, sogeza ratiba ya chai hadi saa 5 ukienda haja utajisaidia, ukichunguza kwa makini utawaona minyoo wadogo wadogo km safura au funza wa chooni.

Kuna dogo mmoja aliwahi kupewa alikunya funza balaa
 
Ahsante sana mkuu, ila hapo mwisho ulivyo malizia Nimecheka mpaka nimeangusha simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom