nisaidieni kuhsu maombi vyuo na mikopo

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
647
72
mi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na nasubili matokeo ila hz mambo za university application zinanchangana sana hasa kuhusu HESLB na TCU nashindwa kujua ipi ni ipi na kila ipi tunaaply kivipi? Msaada jamani nicheki kwa 0769575725 unieleze vizuri naombeni sana jama! akhsanteni
 
Baada ya matokeo ndio unaruhusiwa kuomba,nakushauri urudi jukwaa hili baada ya matokeo tafadhali
 
Back
Top Bottom