Nisaidieni katika hili

Nisaidieni katika hili

Joined
Oct 29, 2014
Posts
39
Reaction score
4
Mimi ni jinsia ya kiume tatizo langu kubwa ni juu ya mpenzi wangu. Kila tukimaliza kufanya mapenzi (Sex) yeye hujihisi maumivu Tumboni.

Kwa anaefahamu hili inasababishwa na nini anisaidie
 
akamuone daktari kwa vipimo zaidi au una m.b.o.o ndefu kupita k.u.m.a. yake labda inamuumiza!!
 
mwambie ameze vidonge vya flajili viwili kila kabla na baada ya tendo
 
Kaka hapo hiyo yako ndefu ila tu kusema hawezi
I also face the same sometimes
 
Kwanza muwah hospitAl pili yawezekana maumbile makubwa unAmuumiza
 
Usiwe unamsokomezea lote wengine vizazi viko karibu.
 
ushamvunja mirija ya uzazi huyo!! wahi hospital tena muende wote kwenye zile herbal clinics!
 
Vijana kwa kukunjana! kuna jamaa aliambiwa mkewe analiwa twende ukashuhudie kwenda kuchungulia anakutwa mwanamke kakunjwa sura haionekani kwa uhakika huku anachokonoa meno na njiti akasema "huyo sio mke wangu mi mke wangu sio kilema.
 
Labda atakuwa hazoea tendo,jaribu kufanya kwa muda mrefu na style zisiwe za kumkunja sana

Nimzoefu sana. Hii ni zaidi ya mara tano sasa tunafanya nae hili tendo ila siku za hivi karibuni amekua akiumia na kudai tumbo linamuuma akifanya mapenzi
 
Back
Top Bottom