P I M
Senior Member
- Feb 16, 2011
- 139
- 24
Habari zenu wana JF,
Kama hardline ilivyojieleza, kama kuna mtu anajue app yoyote ya kuweza kuhifadhi. Mfano picha, video & miziki ili niweze kuformat memory card yangu please nisaidie maake memory hii inanisumbua sana na kuna picha za muhimu sana sitak kuzipoteza.