mke wangu hataki kunisamehe baada ya kunikuta naishi na mwanake mwingine ndani.mimi nafanya kazi manyara yeyd anafanya kazi dar kuonana kwetu ni pale 1 wetu anapopata nafasi anamtembelea mwenzake sasa yy kuja manyara kanikuta naishi na mwanamke akaondoka nimemuomba msamaha kuwa nimemuacha yule mwanamke hataki anasema amepata mume mwingine mimi hanitaki tena na tumefunga naye ndoa ya kikanisa na shahada tunayo.wanajf naombeni ushauri wenu kwani nampenda mke wangu nataka kurudiana naye.