Mbuzi hapigiwi gitaa. Wakati wewe unampigia mbuzi gitaa na dereva wa taxi anamuonyeshea huyo mbuzi majani, unadhani mbuzi ataenda kwa nani? kwako au kwa dereva taxi?
huyo kakushinda dad yangu ndo utamuweza labda ufanye majaribio ya kurubuni vitoto vya mtaani kwenu kwanza ndo uanze kwa wengine hata maneno matam 2 huna