baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
- Thread starter
-
- #61
hapa kwenye kuonesha vitendo ndo huwa napataga tabu,maana kuna mabinti wengine hawataki hata ivo vitendo vyako,kwa mfano utakuta mwengine ukimpelekea zawadi anakataa,ukitaka kumtoa out anajifanya yuko bize na wakati mwengine hata simu hapokei wala meseji hajibu na unafanya haya yote kuonesha ni kiasi gani unamjali na kumkumbuka kila siku but yeye hata habari nayo hana kabisaaaaa!au wakuu nyie mnakusudia vitendo gani?
Ndo maana nkasema huyu dogo ana mapenzi ya movie (ushawahi ona ile movie ya, 'When in Rome'?)...
Ameona we bado mshamba, take it as a lesson and move on!
kwakwel ushangaeeee. na huyoo manzi yupo sawaaaa kabisaaaa. 1 wk???? humjui hakujui t unampendaaaaa????? mhhhhhh!!! i doubt wat if ni mzukaaaa??? angalia ucjepoteaaaaa jombaaaa
Wewe ulitamani na wala hukupenda. dah na speed zako.. na wasiwasi hata kwenye 6*6 huwa unapalamia tu hufuati steps...Jifunze upya kaka.
asikushughulishe sanaa wako wengi wenyewe style kama yake ya sitakinataka, usimpigie wala usimu SMS jikaze kiume atarudi tuu kwako...
Watu wengine sijui mtajua lini kutongoza...hicho ulichofanya ni kama umetoa tamko tu.
Itabidi nianzishe column ya steps za kufanya kumleta mwanamke himayani.
hahahha wee umebugi men!!!
ama kweli.maana hata simalizii,imenibidi nicheke tu.
utakua hujui kutongoza kama ungekua unjua angkua katika imaya yako wanawake wanaitaji maneno laini
maneno cyazimii ,vitendo hunitega mimi
kama amekujibu hivyo basi usimtajia tena piga nae storty kama kwaida atajiingiza mwenyewe,punguza BP..
jiamini kijana mwenzangu! wanawake ni pangu pakavu tia mkono upapase utampata tu,komaa kama M4C!
Mkuu bora uongee wewe maana demu Hata ukimuonyesha unampenda vipi yeye haonyeshi action yoyote .Tatizo watanzania wanapenda kuiga mapenzi ya kizungu wakati hawawezi mi nikimpenda demu namtongoza hivyo hivyo hivyo kwa wiki moja akikataa basi najaribu mwingine kwa sababu the higher the risk the higher the return.
aah wapi! Mbona umelia kwa kukataliwa na mrembo ambae hata humjui vizuri.
Angekukubali halafu ukagundua Ana mtu, Nina Hakka unelectable hadithi ya mtu kuwa malaya.
:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::bump2::bump2::bump2::bump2::bump2::bump2::bump2:
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu basi tukawa tunachat vizuri naongea naye vizuri katika maongezi yetu nikatokea kumpenda huyo mrembo basi juzi nilipomwambia nampenda kanijibu hivi .Kwamba yuko single na hataki kuwa na mtu kwa sasa basi nimelia mpaka basi Kweli inauma kukataliwa hivi jamani .Hata nikimpigia simu hapokei na meseji hajibu
Naomba ushauri please
sijabugi i was express my feelings
Halafu hawa mademu wa siku hizi sijui vipi ,mimi msomi ananikataa alafu anamkubalia dereva tax au bajaj