Nipe namba yake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu basi tukawa tunachat vizuri naongea naye vizuri katika maongezi yetu nikatokea kumpenda huyo mrembo basi juzi nilipomwambia nampenda kanijibu hivi .Kwamba yuko single na hataki kuwa na mtu kwa sasa basi nimelia mpaka basi Kweli inauma kukataliwa hivi jamani .Hata nikimpigia simu hapokei na meseji hajibu na mimi nimerudi mwanza .
Naomba ushauri please
Ishiiiii?
mmmmmmmhhhhhhhh! yan wiiik tu wa unazani atakuamini vp???????? was sooo fast aseeee. duh! kiukwel unachekeshaaa ni haki yake huyo dada akutoseee mzeeee. it was lyk kutamani na si kupendaaaaaa. wiiiik? humjui hakujui et kupendaaaaa? wat if ni mzukaaaa??? be careful
nimecheka sana .....akikupa ...Alafu umsaidie au umsaidiesaide.
Wewe ulitamani na wala hukupenda. dah na speed zako.. na wasiwasi hata kwenye 6*6 huwa unapalamia tu hufuati steps...Jifunze upya kaka.
sasa nifanyaje ndiyo ishatokea hivyo
mmmmmmmhhhhhhhh! yan wiiik tu wa unazani atakuamini vp???????? was sooo fast aseeee. duh! kiukwel unachekeshaaa ni haki yake huyo dada akutoseee mzeeee. it was lyk kutamani na si kupendaaaaaa. wiiiik? humjui hakujui et kupendaaaaa? wat if ni mzukaaaa??? be careful
Wewe ulitamani na wala hukupenda. dah na speed zako.. na wasiwasi hata kwenye 6*6 huwa unapalamia tu hufuati steps...Jifunze upya kaka.
Anza kulia kwa style tofauti,,.....dah nimechekaje leo eti jitu zima 25 yrs umelia kisa umepigwa kibuti....ureeeeNipe ushauri basi
wewe ulitaka ningoje mwaka mzima alafu nikitongoza niambiwe umechelewa kuna mwenzako Tayari
Anza kulia kwa style tofauti,,.....dah nimechekaje leo eti jitu zima 25 yrs umelia kisa umepigwa kibuti....ureeee
Anza kulia kwa style tofauti,,.....dah nimechekaje leo eti jitu zima 25 yrs umelia kisa umepigwa kibuti....ureeee
kwa nini unasema hivyo
KWanza, umeniudhi sana umenitoa kwenye thread ya mdada wa watu mumewe kajigeuza mashine ya kutotoa watoto kuja huku kusoma utoto wako..
PIli, kuna demu gani Dar hii yuko single? huyu wako ni special na umenifanya niwaze mengi sana..alidhani atakuchuna kirahisi asepe akikuambia yupo single wewe ulivo mzabzab ukaingia na gia ya kike eti nakupenda! shabash...hayo maneno hayasemwagisemwagi tu hovyo dogo...unadhani unaact movie hapa unamuona leo kesho unatangaza ndoa!??
Alafu ukishampenda unataka kumfanya nini? Upo Mwanza yupo Dar...!!!!!!
And then, umesema umelia!!! REALLY mwanaume!???????
Msaada wangu ni ungoje ukue aisee...you wil understand things better!!! wat a kid....:A S angry:
huyu kabugi kwa sababu approach yake haina ile wooing a woman, its not romantic, it doesnt titilate the woman simply put it doesnt instill curiosity in the woman. na hiyo ndio important element katika kumteka demu
Mkuu kweli umenena jana niliongea naye huyo mrembo wa Dar eti sasa ndiyo ananiambia nina mtu wangu wakati mwanzo alisema yuko single .
Ktk maongezi yake alikuambia anajiuza? Maana stail uloingia nayo kwake ni kama unamwendea kahaba. Next tym acha papara, jifunze kusubiri
maneno cyazimii ,vitendo hunitega mimi