baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
Watu wengine sijui mtajua lini kutongoza...hicho ulichofanya ni kama umetoa tamko tu.
Itabidi nianzishe column ya steps za kufanya kumleta mwanamke himayani.
sasa tukusaidie nini? Kumtongoza huyo binti au????
ama kweli.maana hata simalizii,imenibidi nicheke tu.
Nipe namba yake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahha wee umebugi men!!!
Lol....ulie kwani mwisho wa dunia...hujui kutongoza mkuu. Hii kitu hufundishwi college
Unachotakiwa ni kukomaa nae hizo ni mbwembwe za kike.
utakua hujui kutongoza kama ungekua unjua angkua katika imaya yako wanawake wanaitaji maneno lainiWiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu basi tukawa tunachat vizuri naongea naye vizuri katika maongezi yetu nikatokea kumpenda huyo mrembo basi juzi nilipomwambia nampenda kanijibu hivi .Kwamba yuko single na hataki kuwa na mtu kwa sasa basi nimelia mpaka basi Kweli inauma kukataliwa hivi jamani
Naomba ushauri please