Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,746
trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k
mjini ujanja tu....
wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
Aisee upo vizurii...wengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report
chakufanya chukua 50k (elfu hamsini) nenda kwa trafiki umpe akutungie hata ajali au kama upo vizur andaa 100k utengenezewe report ya wizi wa vifaa vya gari
trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k
mjini ujanja tu....
wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
Asante Chief.. Ntajaribu kufanya hivo ikishindakana basi tena nimekula hasaraTrafiki atapimaje ajali wakati umemruhusu aliyesababisha ajili aondoke?
Ili bima ikulipe ni lazima kuwe na mchoro wa ajali, aliyesababisha ajali asaini na wewe pia usaini kwamba mchoro uko sawa, ni lazima fomu za Polisi zijazwe na wewe utoe taarifa bima ukiattach document zzote muhimu iikiwepo cover note yako
Kuna mtu nilimuuliza pia ila hapa naona kama ntanunua taa mpya mwenyeweAngalia hasara na faida. Kipi kina hela kubwa. Kununua taa mpya mwenyewe au kufatilia insurance?
Thanks mkuu .. Aisee ntakutafuta kiongoziwengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report
chakufanya chukua 50k (elfu hamsini) nenda kwa trafiki umpe akutungie hata ajali au kama upo vizur andaa 100k utengenezewe report ya wizi wa vifaa vya gari
trafiki/polisi wanajua hiyo michezo utatengenezewa report iliyoshiba kuwa umeibiwa hadi bumpers utajikuta bima wanakulipa hadi 1m ila ujue polisi wataondoka na 200k na pia jamaa wa bima asseser sijui naye atapoozwa hata na 100k
mjini ujanja tu....
wenzako huwa tunalipa comprehensive mwaka wa kwanza tusipopata ajali tunachonga na polisi tukio la wizi wa vifaa tunajipooza
Insurance ni comprehenzive kiongozi.. Embu nipe ujanja mkuuissue yako inawezekana hata kama aliyesababisha ajali alikimbia "hit and run"
bima yako ni comprensive ama third party? kuna traffic alikua hapo hata akachukua maelezo yeyote? au hata contacts? ulichukua hata picha ya tukio ajali ? kwa maelezo yako nahisi hukukumbuka hata kuchukua bima ya mwenye pikipiki.....nijibu kwanza hayo machache.....
Na hawa Insurance hawapendi kuwapa elimu wateja wao mfano nini kifanyike unapopata ajali, na ajar ya nana gani na mazingira yep, haya mambo hata driving school zinazojielewa lazima zifundishe haya.....naonaga ajar nyingi zikitokea drivers wengi hupanick na Kuanza kuwapigia mara mafundi , wanaume bebez kama ni driver wa kike badala ya kuwasiliana na insurance....
Huu ni wizi kama ulivyo wizi mwingine na ni jambo baya kabisa.wengi hapa wanazungukaaaaa tu wanshindwa kukwambia kuwa ulibugi kumuacha pkpk aondoke na trafiki asichore mchoro ajali pamoja na report