Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

mh huyo naona anaomba ushauri japo yaonyesha amefanya maamuz
Mwenzangu!
Ila mie nadan akiamua kukomaa anatafanikiwa tu,
Kwan hata km huyo mama ni kauzu kiasi gani ataona aibu na kuamua kupiga kimpya!
 
Mwenzangu!
Ila mie nadan akiamua kukomaa anatafanikiwa tu,
Kwan hata km huyo mama ni kauzu kiasi gani ataona aibu na kuamua kupiga kimpya!

mmmh labda maana hawa waombaushauri wengi wanatafuta justification
 
Asikushushie dunia huyo asojijua,kua mwenye msimamo na sema na roho yako wewe ulikuja kumsaidia lugha sio kumvua chupi,kwa kupenda kila muhogo ndio mana shule imempita baada yakujutia ndio kwanza anashindana na mihogo kanikera huyo mwanamke koko.....
 
mi nahisi kakugharamia hadi uko kwa nia ya kulala na wewe.
usiku wa leo ngangania kulala hicho chumba anachodai kina mashetani,au na wewe umeshaingia woga,ukilala nae leo chumba kimoja lazima akubake,Mwenzio lazima leo kajipanga jinsi ya kukukabili.
 
huwezi kushinda majaribu kirahisi hivyo bila msaada wa ziada, kama wewe si mcha mungu huwezi kushinda majaribu.... wewe endelea kupata misaada tu... keshakulipia huyo mlipe na yeye...
 
huwezi kushinda majaribu kirahisi hivyo bila msaada wa ziada, kama wewe si mcha mungu huwezi kushinda majaribu.... wewe endelea kupata misaada tu... keshakulipia huyo mlipe na yeye...

mimi nimekuja hapa kikazi bwana sasa unaposema amenilipia na mimi nimlipe unakosea. Alafu sio heshima
 
Ukimla tu....basi utakuwa unalipiwa gharama zote mkija huko lakini usitegemee kulipwa fee ya kazi...Kifupi utakuwa sexy transilator...Kumbuka kitabu cha PENZI KITOVU CHA UZEMBE....!
 
Hakuna ubaya. Kwa nini unaanza kujihadhari/ Kwani mbona watu wengi tu wakienda nje ya nhi wanalala chumba kimoja mwanume na mwanamke ili kusavu vijisenti. Tatizo ni sisi waswhili hatuwezi kujikontrol kimapenzi. Yeye kasema anataka kulala chumabi kwako na wala hajasema kuwa anataka kulala kitandani kwako. Mimi naona hamna noma mkuu.
 
Ufanye ambalo halita haribu Kipato chako unacho kitegemea na umshauri tu atafute mtu wa kua nae kama huo ni utaratibu wake
Maana unaweza poteza Fedha na Afya yako ambalo ni TEGEMEO KUBWA KWA UFANISI WAKO KWAKO NA FAMILIA YAKO
 
Asante kwa ushauri mzuri.
 
Ukimla tu....basi utakuwa unalipiwa gharama zote mkija huko lakini usitegemee kulipwa fee ya kazi...Kifupi utakuwa sexy transilator...Kumbuka kitabu cha PENZI KITOVU CHA UZEMBE....!

Eh hii kweli kabisa
 
Back
Top Bottom