Paul mathew
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 275
- 60
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake alienda kwa mwanaume kulala nae usiku kucha jamaa alipompigia sim usiku alipokea mdume, hebu msaada wenu wana jf.
:coffee:aina gani ya ubabe? definitely ni ubabe wa kike hasa anapogundua kwamba mumewe ni *****
Coz huyu mwamke alienda dar kiubabe hakurusiwa na mumewe, kumbe alikuwa amepewa promise tayari so it wa too difilcut to postpon.