Nisaidieni hili: Ubakaji wa mwanafunzi wa form six mwenye umri wa miaka 16

Ndugu,hilo linawezekana,siku hizi elimu ya miaka 4 kidato cha kwanza mpaka cha nne mtu makini anasoma kwa miaka miwili tu na anapiga paper ya form four na anapata credit hivyo anaendelea na Alevel ambayo nayo badala ya miaka miwili anapiga kwa mwaka mmoja anafanya paper ya form six anaingia Chuo!!!nina mifano ya ndugu zangu watatu ambao niliwatoa kijijini baada ya kushindwa kusomeshwa na ndugu huko kijijini nikawaleta Dar nikawaunga QT.Hivi ninavyokwambia mmoja ka-graduate degree ya kwanza UD 2015,hao wawili ndio wameingia mwaka wa tatu November mwaka jana,mmoja yupo UD na mmoja yupo UDOM!!Hivyo acha kukariri kwamba elimu ya sekondari ni miaka 6 kama tulivyosoma sisi,siku hizi mtu serious anatumia three years badala ya six years.
Haya sawa piga mahesabu na hiyo Miqt yako uone inakujaje!
 
Kitaalamu mtu anarushwa darasa mara moja tu na si zaidi ya hapo. Hakuna mtu anayerushwa madara mawili kwa wakati mmoja.yaani mtu atoke la kwanza hadi la tatu, hakuna. Hapo huyo askari amtafute mwanasheria mzuri tu, kesi inaisha mchana kweupe.
acha ubishi mdogo wangu alirushwa kutoka la 5 hadi la 7
 
Ndugu,hilo linawezekana,siku hizi elimu ya miaka 4 kidato cha kwanza mpaka cha nne mtu makini anasoma kwa miaka miwili tu na anapiga paper ya form four na anapata credit hivyo anaendelea na Alevel ambayo nayo badala ya miaka miwili anapiga kwa mwaka mmoja anafanya paper ya form six anaingia Chuo!!!nina mifano ya ndugu zangu watatu ambao niliwatoa kijijini baada ya kushindwa kusomeshwa na ndugu huko kijijini nikawaleta Dar nikawaunga QT.Hivi ninavyokwambia mmoja ka-graduate degree ya kwanza UD 2015,hao wawili ndio wameingia mwaka wa tatu November mwaka jana,mmoja yupo UD na mmoja yupo UDOM!!Hivyo acha kukariri kwamba elimu ya sekondari ni miaka 6 kama tulivyosoma sisi,siku hizi mtu serious anatumia three years badala ya six years.
kwa akili yako nikuwa hata hiyo miaka 16 ni mingi maana kama kapiga QT basi atakuwa form six kwa 13 years. acha unanga wewe. hapa hatufanyi assumption. tunaongelea reality of the incidence.
 
Kitaalamu mtu anarushwa darasa mara moja tu na si zaidi ya hapo. Hakuna mtu anayerushwa madara mawili kwa wakati mmoja.yaani mtu atoke la kwanza hadi la tatu, hakuna. Hapo huyo askari amtafute mwanasheria mzuri tu, kesi inaisha mchana kweupe.
Sasa kuna mtu alitoka chekechea akaenda anza darasa la tatu..ni akili tuu ya mtoto na ukubwa wa mzazi.baba yake alikuwa teacher mkuu
 
Na kimsingi nina picha za huyo binti toka majuzi tukio lilipotokea.Anasoma Korogwe Girls na akitoka Mwanza akapitia Arusha ili alale kwa ndugu yake kisha siku ya pili apande basi kwenda shule Tanga.Nadhani alipotezana na huyo ndugu yake stendi so alipomuona askari akamuomba msaada amsaidie.So jamaa kuona chuchu zimesimama ndio akatumia advantage kumrubudi na kwenda kumla
 
Ubakaji ni kosa ata kama huyo binti angekuwa amevuka umri wa kuitwa mtoto; na hili tatizo ni kubwa kwenye jamii kuna watu ambao awaripoti matukio hayo isitoshe kuna shule luluki za boarding huko vijijini tunaambiwa watoto kadhaa wa kike wanapotezewa masomo kisa kupelekewa ndoo za maji tu (wenyewe wanaita mimba za maji) ambapo huko mashuleni kwao kuna uhaba na mabinti inabidi wajisafishe mara kwa mara.

Unategemea waziri wa afya achukue hili swala very serious kwenye kuwalinda watoto ambao wapo kwenye hizi risks na sidhani kama ni swala la mwalimu mkuu tu wa shule given the circumstances kuna hitajika nguvu kazi ya sehemu mbali mbali za jamii kila mtu kupewa majukumu ya kumaliza matatizo kama haya ndio hapo utajua kutokana na changamoto za wizara zingine si kila kiumbe anafaa tu kuziongoza.
Binafsi sijakataa tatizo ni huo umri wa mbakwaji na kidato chake ukifuata mtiririko wa elimu yetu hapa nchini
 
Huyo askari akate rufaa, asubuhi tu anashinda rufaa yske.
My take:
Ukipiga hesabu ili mtoto mwenye umri wa miaka 16 awe kidato cha sita itabidi awe ameanza chekechea akiwa na miaka miwili, jambo lisilowezekana.

Huyo afande wamemfanyia tu uhuni ama huyo binti ni wa kibosile fulani. Kuwa form 6 kikawaida lazima umri wake uwe zaidi ya miaka 18.
Mkuu unataka jamaa akate rufaa hata kesi haijasikilizwa! Hayo ya umri ni jukumu la upande wa mlalamikaji/Jamhuri kuthibitidha kwamba huyo msichana alikuwa chini ya miaka 18. Lakini pia ikumbukwe kwamba ubakaji hautegemei umri tu bali ridhaa ya mhusika. Hata kama atakuwa ana miaka 80 kama hakukuwa na ridhaa na akaingiliwa huo ni ubakaji.
 
kwa akili yako nikuwa hata hiyo miaka 16 ni mingi maana kama kapiga QT basi atakuwa form six kwa 13 years. acha unanga wewe. hapa hatufanyi assumption. tunaongelea reality of the incidence.
je kama alifanya QT O LEVEL PEKE AKE????
 
Binafsi sijakataa tatizo ni huo umri wa mbakwaji na kidato chake ukifuata mtiririko wa elimu yetu hapa nchini
SWALA LA UMRI ,KUNA UWEZAKANO KUWA HUYO BINTI NA MIAKA 16,ACHA UBISHI,NA HATA KAMA WAKIKUTA AMEDANGANYA UMRI KOSA LA KUBAKA NI KOSA,HUYO AFANDE AMEKWENDA NA MAJI
 
Binafsi sijakataa tatizo ni huo umri wa mbakwaji na kidato chake ukifuata mtiririko wa elimu yetu hapa nchini
Ukute waliokosea umri ni hao hao waandishi wa habari either way kosa lake aliondoki afande kabaka mwanafunzi that much we know.
 
Sasa kuna mtu alitoka chekechea akaenda anza darasa la tatu..ni akili tuu ya mtoto na ukubwa wa mzazi.baba yake alikuwa teacher mkuu
Inawezekana ika kiutaratibu na kitaalamu si sawa. Ni kama askari kumpiga mtuhumiwa, inatokea sana lakini si utaratibu wala si sheria.
 
Wee njagu kata tu rufaa kama aliruka madarasa hata miaka mitatu si ataonyesha TSM 9 na vielelezo vingine jinsi alivyosoma? Ila kama ulimkata ngwala bila maafikiano hata kama ana miaka 20 usijaribu kukata rufaa utaongezewa mvua nyingine.
 
Nimeona katika taarifa ya habari ya ITV usiku huu kuwa askari mmoja wa jeshi la polisi kikosi cha FFU amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha sita MWENYE UMRI WA MIAKA KUMU NA SITA.
My take:
Nimejaribu kupiga hesabu zangu naona zinakataa, mwanafunzi wa kidato cha sita kuwa na umri wa miaka kumi na sita labda mwanafunzi huyu kama atakuwa ameanza darasa la kwanza akiwa na miaka mitatu.
Hapa ndipo unapoona weledi wa mahakimu wetu na waendesha mashtaka wetu kuwa upo chini sana.

May be alkuwa anarushwa madarasa
 
Back
Top Bottom