Nisaidieni hili Tatizo kwenye pc yangu

Nisaidieni hili Tatizo kwenye pc yangu

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
981
Nikichomeka flash au ata USB haisomi inalia kama imeingia lakini haionekani, hata nikidownload magame haikubali inaonesha kama virusi.
Tatizo ni nini wakuu and how to fix?
 
Kuhuusu magame unatumia antivirus gani. Kama ni cracked game huwa zinapatwa na hilo tatizo.
 
Afadhali umeuliza mkuu hili tatizo limenikumba wiki ta pili sasa hii na sijapata alternative
 
Back
Top Bottom