Nisaidieni hili swali wanachuo limenishinda!

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Hakyanani hili swali la somo la child right and development limenishinda
naombeni mnieleweshe ama msaada wa namna ya kulielewa;
Swali hili hapa;-
Child development undergoes different stages to maturity.Explain social,and cognitive expactation of a child in development
NIMEGOOGLE MPAKA NIMECHOKA
Update; Ahsanteni nimelifanya swali kwa kutumia zile stage za child development according to Signum freud na erick erickson
Nawaahidi akisahihisha nitaleta pia hapa
mbarikiwe sana
 
yani nikionaga swali tu lina ma development development sijui nakumbuka DS tu..na mapigo ya moyo yanaenda kasi saana. DS Ilinisumbua saana saana.. sijataka hata kusoma mpk mwisho sijui ni li Ds au
 
Iyo ni assignment kamua kuleta uku asaidiwe, badala ya kufanyia geto na watoto wenzake, anakuja kusumbua baba zake uku
 
soma vitabu vifuatavyo.....
1.Adolescence by john watson santrock
2.Human development by Urie bronfenbrenner.
3.Adolescence by Erik Erickdon.
4.Caring for your adolescence by Graydanus.


Hapo swali limeiaha kabisa
kila raheli katika Corse work mkuu
 
Kuna Theories nyingi zinazodescribe growth and development. Your question is too broad to respond.
Kwa kifupi unahitaji theory za Freud kuhusu Id, ego na superego. Erickson psychosocial theory, Piaget cognitive theory, Harvighust development tasks theory, etc
 
Psychosexual ni lecture zilizokuwa na mahudhurio na maswali mengi sana back in college...
 
Stages of social and cognitive development...

Anapokwambia social na cognitive expectations anahitaji mambo/mabadiliko ambayo yanategemewa ndani ya umri flani mpaka umri flani.
 
soma vitabu vifuatavyo.....
1.Adolescence by john watson santrock
2.Human development by Urie bronfenbrenner.
3.Adolescence by Erik Erickdon.
4.Caring for your adolescence by Graydanus.


Hapo swali limeiaha kabisa
kila raheli katika Corse work mkuu
Utakuwa umesoma lakini hujaelimika yaani swali moja akusanye utitiri Wa vitabu??????
 
Hivi kumbe ndio vyuoni maswali ndiyo yalivyo? Uoga wangu niliogopa chuo sababu ya lugha! Kumbe I can do it...

Naweza jaribu kujibu bila lacture itakubalika? Sijawahi soma chuo ila ukuaji Wa Mtoto na Tabia zake na mabadiliko yake I can use my poor English.. Yangu ya elimu mtaani dot com. Niruhusini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom