Nisaidieni hili plz!

Nisaidieni hili plz!

jamalizo

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
27
Reaction score
3
Habari zenu

Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
 
Attachments

  • IMG-20161022-WA0016.jpg
    IMG-20161022-WA0016.jpg
    26.4 KB · Views: 30
Habari zenu

Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
Nenda ofisi za tcu wanadawati la usaidizi ni muhimu kuwahi.
 
Habari zenu

Nilikuwa najaribu kuingia tcu kuchek kama Niko selected imeniletea hivyo na nimeingiza form 4 index na e-mail pia majibu ni hayo hayo..Nisaidieni ina maana gani hii??
Hiyo ina maana bado hujachaguliwa... Kwa maana nyingine subiri majibu ya third round
 
Mm nlikosa 1 nikawa nikiweka details zangu naletewa ivo ....
Ila embu cheki kwenye profile yako tcu Kama upo provincially selected mkuu

Mi ni diploma holder na hiyo ni for third round maybe nijaribu 4th round
 
Back
Top Bottom