Gwamahala JF-Expert Member Jul 29, 2009 3,925 2,321 Nov 29, 2010 #1 Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie.
hashycool JF-Expert Member Oct 2, 2010 6,555 2,829 Nov 29, 2010 #2 Gwamahala said: Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie. Click to expand... kama wew ni she....mumeo ni dawa nzuri na kama ni he....muandae mkeo leo
Gwamahala said: Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie. Click to expand... kama wew ni she....mumeo ni dawa nzuri na kama ni he....muandae mkeo leo
Mtende JF-Expert Member Sep 27, 2010 6,385 7,295 Nov 29, 2010 #3 jikande na maji ya moto yenye chumvi,pole sana.
Gwamahala JF-Expert Member Jul 29, 2009 3,925 2,321 Nov 29, 2010 Thread starter #5 Tunga said: Jinsia yako tafadhali.......... Click to expand...

me ni mwanaume
Gwamahala JF-Expert Member Jul 29, 2009 3,925 2,321 Nov 29, 2010 Thread starter #6 hashycool said: kama wew ni she....mumeo ni dawa nzuri na kama ni he....muandae mkeo leo Click to expand...

Hashycool asante kwa dawa lakn wangu yuko mbali.
hashycool said: kama wew ni she....mumeo ni dawa nzuri na kama ni he....muandae mkeo leo Click to expand...

Hashycool asante kwa dawa lakn wangu yuko mbali.
Mtende JF-Expert Member Sep 27, 2010 6,385 7,295 Nov 29, 2010 #7 Gwamahala said:

Hashycool asante kwa dawa lakn wangu yuko mbali. Click to expand... its not true kwamba hiyo ndo dawa usidanganyyike
Gwamahala said:

Hashycool asante kwa dawa lakn wangu yuko mbali. Click to expand... its not true kwamba hiyo ndo dawa usidanganyyike
hashycool JF-Expert Member Oct 2, 2010 6,555 2,829 Nov 29, 2010 #8 Mtende said: its not true kwamba hiyo ndo dawa usidanganyyike Click to expand... lets hear yours!
cheusimangala JF-Expert Member Feb 27, 2010 2,585 497 Nov 29, 2010 #9 mafuta ya kondoo mwaya yatakusaidia.
hashycool JF-Expert Member Oct 2, 2010 6,555 2,829 Nov 29, 2010 #10 cheusimangala said: mafuta ya kondoo mwaya yatakusaidia. Click to expand... eeh!
NILHAM RASHED JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,622 43 Nov 30, 2010 #11 YAFANYAJWE ??BABA ANGU CHAMSUMBUA SANA SANAQUOTE=hashycool;1318485]eeh![/QUOTE]
F Ferds JF-Expert Member Oct 27, 2010 1,263 191 Nov 30, 2010 #12 Gwamahala said: Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie. Click to expand... kama kinauma kutokana na shughuli ya kuwajibika ktk ndoa, basi pugusa mlipuko usiwe wa bing-bang, jichue kwa mafuta ya karafuu, tafuta mchuaji mzuri au neda kafanyiwe massage, kula brufen(pain killer) kitapoa note;- If simptoms persist see a medical doctor
Gwamahala said: Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie. Click to expand... kama kinauma kutokana na shughuli ya kuwajibika ktk ndoa, basi pugusa mlipuko usiwe wa bing-bang, jichue kwa mafuta ya karafuu, tafuta mchuaji mzuri au neda kafanyiwe massage, kula brufen(pain killer) kitapoa note;- If simptoms persist see a medical doctor