Nisaidieni dawa.

Gwamahala

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
3,925
2,321
Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie.
 
Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie.

kama kinauma kutokana na shughuli ya kuwajibika ktk ndoa, basi pugusa mlipuko usiwe wa bing-bang,
jichue kwa mafuta ya karafuu, tafuta mchuaji mzuri au neda kafanyiwe massage, kula brufen(pain killer) kitapoa

note;- If simptoms persist see a medical doctor
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom