babu chodo
Member
- Apr 1, 2014
- 90
- 23
Naombeni msaada tumbo linajaa gasi na kunguruma sana,nimeshachekiwa hospitali nimeingiziwa mpira endoscope nimeambiwa sina tatizo lolote lakini bado tatizo lipo nisaidieni
GESI TUMBONI : Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya mingurumo humo na kumsababishia maumivu, humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka jasho na machovu bila ya kufanya kazi. Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu kuumwa kwa mgongo au kiuno. Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya presha sehemu au karibu ya moyo na kusababisha maumivu ya moyo.Naombeni msaada tumbo linajaa gasi na kunguruma sana,nimeshachekiwa hospitali nimeingiziwa mpira endoscope nimeambiwa sina tatizo lolote lakini bado tatizo lipo nisaidieni