Nisaidieni data nimalizie utafiti wangu

Nisaidieni data nimalizie utafiti wangu

Ukienda restaurant na ukakuta meza zimejaa Huwezi kasirika..lakini ukirudi home ukute mtu usiemjua kaja kapewa msosi wote Lazima ukasirike
 
Wanaume wenzio/michepuko wana majbu, hahahahha wanaume n viumbe wa ajab sana hua mnaona ww kuchepuka n haki yalo ila sio mwenza wako kuchepuka unaona n kosa la jinai

uchepukaji wa mwanaume tofauti na mwanamke yaani nikifikiria vile ninavyomfanya mpenzi wangu alafu kiumbe kingine ndo kimfanye hivyo hivyo hell no,nikigundua napiga chini mi nikichepuka anaweza kunisamehe ila sio yeye kha!
 
Kwa nini yeye aweze kukusamehe?
Hata akikusamehe,things will never be the same again.
Hakuna neno zuri la mahaba utakalomwambia liwe nathamani yake tena,kila utachomfanyia anajua hata ulipochepuka you did the same,ladha inaondoka yanabaki mazoea tu!!!
Wanaume acheni ubinafsi!!!
 
Ati!
Sheria zinataka fair play

Fair play ya nini wakati wengine mizunguko mirefu wengine mifupi!!!!!!!!!
Huyu ana ndevu huyu ana kipara!!!!!!!

Darwin alishamaliza hii kesi ya fairness
 
Kwa nini yeye aweze kukusamehe?
Hata akikusamehe,things will never be the same again.
Hakuna neno zuri la mahaba utakalomwambia liwe nathamani yake tena,kila utachomfanyia anajua hata ulipochepuka you did the same,ladha inaondoka yanabaki mazoea tu!!!

Wanaume acheni ubinafsi!!!

Wakati umemoa bikra au mlishaanza mchangani..........!!!!!!!!!!!!!!!
 
We JEKI nataka kujua tuko wangap maana me sijatishiwa kuachwa haya ulimtishia nani?! Naona kuachana kunakaribia, ohooooo hii filen umetupanga wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini yeye aweze kukusamehe?
Hata akikusamehe,things will never be the same again.
Hakuna neno zuri la mahaba utakalomwambia liwe nathamani yake tena,kila utachomfanyia anajua hata ulipochepuka you did the same,ladha inaondoka yanabaki mazoea tu!!!
Wanaume acheni ubinafsi!!!
i knw its selfish and true love wont be there if any one from the couple divert from main road bt atleast a diverter should be a man and not opposite one,by saying so it doesnt mean naendekeza michepuko or i will do it to my woman i dont know hw to put it bt simple i can say a key that can open many locks we call it master key but the lock which can be opened by many key we dont call it lock rather a shity one.
 
Selfish creatures!!! Aaargh!
Men!!!!!!
 
Back
Top Bottom