Nisaidieni: CAN MY COMPUTER RUN WOMDOWS 7

EMPTY

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
979
1,189
Habari za asubuhi JF Members?
Napendwa kufahamishwa kama mashine yangu ina support Windows 7.
Download hiyo file hapo chini halafu unipe feedback.
Natanguliza Shukrani.
 

Attachments

  • My System.rar
    45.8 KB · Views: 43
wkt unaatach chagua kama ni picha, au pdf au word isomeke, file lko gumu kueleweka ,,,halifunguki
 
wkt unaatach chagua kama ni picha, au pdf au word isomeke, file lko gumu kueleweka ,,,halifunguki
Mkuu, file mbona linafunguka vizuri tu.
Jaribu na hili la PDF.
 

Attachments

  • System Information.pdf
    1.3 MB · Views: 144
Habari za asubuhi JF Members?
Napendwa kufahamishwa kama mashine yangu ina support Windows 7.
Download hiyo file hapo chini halafu unipe feedback.
Natanguliza Shukrani.
Unaweza kufunga W7, kwani RAM ina 1GB na hata Processor 1.86 inatosha pia, ila nimeona local Disc D ipo full, usifanye hivyo mkuu, unatakiwa iwe na nafasi free walau 6 GB, Mhimu kuliko yote ni local Disc C ambako ndo unafunga OS nimeona umetenga kama 60GB, hakikisha local disc c muda wote inakuwa na free space isiyopungua 40 GB. Pia uisafishe walau mara 1 kwa wiki siyo unatumia tu computer hata mwezi hauisafishi inazidiwa.
 
i think file la juuu ndo zuri liko compressed kwa kb 45 nimeona file la zaid ya mb1 nimesave bandwitch.

Mi kwa uelewa wangu bora ubaki na xp kaka hasa kwa mtu kama wewe am sure unapenda kudownload download programs + window 7 itakua slow sana.

Pia hata hio xp download portable softwares ambazo hauinstall za kuinstall zitafanya pc iwe slow
 
hii ni dell latitude kama yangu unaweza kutumia windows 7 lakini hauta enjoy ingawa hiyo ndiyo Minimum Sys Req ya Win 7. Nakusahuri utafute PC nyingine yenye Processor i3 kama kishindwa basi hata Dual Core ambayo inanguvu kuzidi hiyo. Kama utalizimisha kuweka Windows 7 kama mimi basi usiifanye iwe overloaded na tafuta 32bit...pia kwenye graphics hii pc haitatoa matokeo kama ambavyo unaona kwenye PC nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…