GIPAMA JF-Expert Member May 21, 2016 1,103 541 Jun 3, 2017 #1 Wakuu amani na iwe kwenu, naomba kupata email address ya IGP Anuani ya police makao makuu Na email address ya mkuu wa chuo cha police moshi. Asanteni.
Wakuu amani na iwe kwenu, naomba kupata email address ya IGP Anuani ya police makao makuu Na email address ya mkuu wa chuo cha police moshi. Asanteni.
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Feb 23, 2014 1,182 2,015 Jun 3, 2017 #2 nenda website ya polisi ziko zote pale. jishughulishe ndugu.
GIPAMA JF-Expert Member May 21, 2016 1,103 541 Jun 3, 2017 Thread starter #3 Shukrani A. Ngonyani said: nenda website ya polisi ziko zote pale. jishughulishe ndugu. Click to expand... Sijaziona ndugu...... Hazipo.
Shukrani A. Ngonyani said: nenda website ya polisi ziko zote pale. jishughulishe ndugu. Click to expand... Sijaziona ndugu...... Hazipo.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 Jun 3, 2017 #4 GIPAMA said: Wakuu amani na iwe kwenu, naomba kupata email address ya IGP Anuani ya police makao makuu Na email address ya mkuu wa chuo cha police moshi. Asanteni. Click to expand... Contacts nazoi ni siasa?
GIPAMA said: Wakuu amani na iwe kwenu, naomba kupata email address ya IGP Anuani ya police makao makuu Na email address ya mkuu wa chuo cha police moshi. Asanteni. Click to expand... Contacts nazoi ni siasa?
GIPAMA JF-Expert Member May 21, 2016 1,103 541 Jun 3, 2017 Thread starter #5 Rutashubanyuma said: Contacts nazoi ni siasa? Click to expand... Naamini kabisa jukwaa hili wanapita kila aina za watu toka pande zote, hata police wapo hapa, hvo nmeamini itakuwa rahisi kuzipata.
Rutashubanyuma said: Contacts nazoi ni siasa? Click to expand... Naamini kabisa jukwaa hili wanapita kila aina za watu toka pande zote, hata police wapo hapa, hvo nmeamini itakuwa rahisi kuzipata.