Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa mpaka anatishia kusepa maana cmridhsh,nile chakula/dawa gan msaada tafadhari.
tatizo lako linasababishwa na kitendo cha kujihusisha na ngono katika umri mdogo. subiri kidogo umri ukisogea tatizo litakwisha lenyewe...
Asante sana, tuko busy mpaka tunasahau kutakiana heri ya mwaka, na wewe pia uwe na mafanikio mema sana.
Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa mpaka anatishia kusepa maana cmridhsh,nile chakula/dawa gan msaada tafadhari.
nyeto mbaya jamani