nisaidien website za kudowload music.

nisaidien website za kudowload music.

The best way ni kugoogle maana ni kazi sana kupa site moja yenye miziki ya aina zote

Just google jina la wimbo na msanii kisha anza kupitia link ktk matokea, kama upo uploaded somewhere utaupata tu
 
wapdam.com Hapo nyimbo karibu zote za kibongo utazkuta.
 
nimeipenda hii site coz ina nyimbo nyingi na adimu tatizo nimeshidawa kupakua msaada plz

Tumia IDM (Internet Dowload Manager) nyimbo zozote unazotaka. Ukishindwa tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom