proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,468
- 1,329
Hello Jf Members nawasalimu nyote,Ninatatizo la maumivu makali sana ya mgongo wakati wa usiku na kushindwa kulala wala kukaa ,haya maumivu yakianza ni shida na Mara nyingi huanza usiku kama saa tatu mpaka 7-8 na hupotea,kuna kipindi ilikuwa hivi nikaenda hospital kucheki ,baada ya Dr kunipima nikagundulika Nina malaria na baada ya kutibiwa hii hali nayo ikatulia kama sio kwisha kabisa ,wiki hii naona hali imeanza tena na nimeenda kucheki kila kitu ikiwepo malaria lakini haipo kwa sasa niliambiwa Nina Taifodi na nipo kwenye dozi ,Ebo wataalamu niambie jamani hii ni homa gani na nini tiba yake?