Nisaidie wandugu huu ni Ugonjwa gani?

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Hello Jf Members nawasalimu nyote,Ninatatizo la maumivu makali sana ya mgongo wakati wa usiku na kushindwa kulala wala kukaa ,haya maumivu yakianza ni shida na Mara nyingi huanza usiku kama saa tatu mpaka 7-8 na hupotea,kuna kipindi ilikuwa hivi nikaenda hospital kucheki ,baada ya Dr kunipima nikagundulika Nina malaria na baada ya kutibiwa hii hali nayo ikatulia kama sio kwisha kabisa ,wiki hii naona hali imeanza tena na nimeenda kucheki kila kitu ikiwepo malaria lakini haipo kwa sasa niliambiwa Nina Taifodi na nipo kwenye dozi ,Ebo wataalamu niambie jamani hii ni homa gani na nini tiba yake?
 
Sehemu gani ya mgongo? Juu, katikati au chini karibu na kiuno?
 
Ni maeneo ndani ila kama kwa katikati ,na ikitokea nikicheua maranyingi maumivu yanaweza isha
Pamoja na ushauri uliopewa hapo juu, kwq hizo dalili ongezea na vidonda vya tumbo, na vipimo kwa kuanza navyo ni Oesophagogastroduodenoscopy(OGD) na Barium meal X-Ray.
 
Haya maneno yenu mnayoita ya kitaalamu ni noma..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom