ushungi wa zanzibar
Member
- Jun 29, 2015
- 96
- 29
Kuna kitu kinanshangaza hapa ndani MWANAUME akiweka tangazo anatafuta kazi watu watamchunia au kumkaushia ila akiweka BINTI wanajitokeza wadhamini au watu wengi wa kumsaidia.
Hii inamanisha nini?
Hii inamanisha nini?