Nisaidie mawazo niko njia panda

Nisaidie mawazo niko njia panda

I see..kaa kimya..watoto wakikua watakutafuta..wakatie Bima tu basi..
Kama atataka uwasomeshe awarudishe haraka Sana.. akiendelea kukaa nao..basi awasomeshe yeye..mwambie kwa ukali aelewe!
 
ANZIENI KIFAMILIA KWANZA THEN NENDEENI POLICE NA USTAWI WA JAMII
 
Kabla ya kulalamika kwanza elezea Sababu nini...
 
Back
Top Bottom