mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Kwa ukweli mke wangu kaaamua kuniacha na kuondoka kwenda kwao .
Ni mkasa mrefu sana ila tatizo sio kuenda kwao tatizo ameindika na watoto wangu 2 mmoja miaka 7 na mwengine 3 nimemuambia anipe niwalee hataki anasema kwangu watasumbuka nimemuomba aje tuwalee hataki anasema hayuko tayari kuishi nami.
Anahitaji matumzo ya watoto hata mtoto akiumwa akimpeleka hospitali basi napigiwa simu ili nirejeshe gharama zilizotumika za matibabu.
Sasa anataka kumpeleka huyu huyu dogo shule nyengine ambayo ni mara mbili ya pesa ambayo niliokua namlipia anataka hizo harama nitowe mimi wakati nahisi itakua sio haki
Nahofu watoto wangu wasijekuona nimewatelekeza ila kufanywa mtaji na mama yao pia naona sio haki
Nisaidie mawazo niko njia panda