Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye aliona akawa hataki kunielewa nikawa nakata mawasiliano kabisa na yeye wala sikumuhitaji tena. Nimepata BF mwingine last year tumependana na tumekubaliana kuoa mwezi wa tisa sasa huyu jamaa kasikia kuwa nataka kuolewa kawaconvince wazazi wake wanikubali kafanikiwa naye kapeleka barua kwetu jana nimechanganyikiwa na maswali yafuatayo:
1. Nifanyeje
2. Kwanini kama kweli ananipenda hakufanya hivyo toka mwanzo kuwaconvince wazazi wake?
3. Mapenzi yangu yako kwa huyu wa sasa maana niko nae karibu mwaka sasa na sitaki kumuumiza
Asante kwa ushauri wenu
Ngoja nitarudi
Ngoja nitarudi
Wapi saa hizi jamani!?
Ushauri mwingine unahitaji reference
Ukisikia Pwaaah, ujue imekukosa, achananaye huyo na hao ndugu zake, nini ulicho badilika sasahivi? kabila halibadiliki, na ndio dis-qualification yako kwao. Mshukuru Mungu achana nao
Nilikuwa na BF wangu tukapenda sana mpaka tukakubaliana kuona kwenda kwa wazazi wake wakanikataa eti kabila tofauti aoe kabila yake baada ya kuambiwa hivyo mie mapenzi yakapungua kabisa, na yeye aliona akawa hataki kunielewa nikawa nakata mawasiliano kabisa na yeye wala sikumuhitaji tena. Nimepata BF mwingine last year tumependana na tumekubaliana kuoa mwezi wa tisa sasa huyu jamaa kasikia kuwa nataka kuolewa kawaconvince wazazi wake wanikubali kafanikiwa naye kapeleka barua kwetu jana nimechanganyikiwa na maswali yafuatayo:
1. Nifanyeje
2. Kwanini kama kweli ananipenda hakufanya hivyo toka mwanzo kuwaconvince wazazi wake?
3. Mapenzi yangu yako kwa huyu wa sasa maana niko nae karibu mwaka sasa na sitaki kumuumiza
Asante kwa ushauri wenu
usikimbilie ndoa dada,penda roho yako inapopenda.na penda unapopendwa. kama unampenda huyu wa sasa,endelea na kuwa wa huyu wa sasa.ndoa ni loooooong commitment,na ina mambo mengi tu.chagua pale roho yako inapenda.at the end uamuzi ni wako.
mhh! kama sijaelewa mambo fulani fulani; yaani ulipoelezwa tu UKAPUNGUZA MAPENZI, wajuaje kama alikuwa anajaribu kuona ni kiasi gani uko serious naye?? nyekundu: aliendelea kukufata lakini ukawa unakata mawasiliano, kimsingi ulikuwa hujampenda huyu bwana: kwanini usimweleze ukweli kuwa toka mwanzo ulikuwa umpendi??? lazima uchanganyikiwe kwa kuwa ulimlaghai huyu bwana..! kimsingi wewe ndo humfai..bora uende kwa huyo wa sasa! kama amepeleka posa, c uwaambie tu wazazi waikatae nawe uwasingizie! unachanganyikiwa kitu ghani??? kimsingi huwezi panda farasi wawili! amua, chukua hatua! alafu nahisi kama ni mimi vile!
mpendane wote,ila raha zaidi yeye akupende zaidi.akipenda zaidi hatosikiliza ya watu,yeye ma love love kwa kwenda mbeleSwali: lipi bora kwenda unakopendwa zaidi au unakopenda zaidi hata kama upendwi kihivo??????